Zuzu mmoja aliamua kuvamia msitu wa serikali ambao upo kwenye mlima kavuna miti yote kisha kanza kuchana mbao wakati anachana mbao kumbe polisi wameshapewa taarifa walipomkuta wakaanza kumhoji...
Ndugu yangu kasoma Ulaya miaka mitatu. Alikuwa akiniambia ana totoz pisi kali ameoa kabisa.
Wamefika airport DSM majuzi, nimeenda kuwapokea. La karibu nianguke!
Bibie ana macho utafikiri...
Ilikuwa lini na sababu ilikuwa nini (kama unafahamu)
Aisee ugomvi sio mzuri kiiuiivyo.
Nimekumbuka siku nilipomshuhudia jamaa amepigwa roba anashindwa hata kupumua (kudadadeki)
Afu watu...
Jamani mpooo..?
Huku kujifanya ujuaji kwa kuona pasipo kujiulizaa,kaazi kweli,mm nimehitimu mmu, Arusha.
Mara ya kwanza kuingia humu nikakutana na neno wana MMU, mi nkajua moja kwa moja ni...
Dunia ina mambo na vijimambo nami nashukuru nimefanikiwa kushuhudia vituko vingi mno maishani mwangu. Ni majuzi tu hapa nimeshuhudia kisanga cha aina yake baada ya kalio la jirani yangu kuzua...
Hakuna kitu kizuri kama kumbukumbu, japo kuna kumbukumbu mbaya na nzuri. Yote ni mipango hatuna budi kushukuru.
Je, mwezi uliozaliwa kuna matukio gani makubwa yanayokumbukwa duniani?
Wakuu tuko pamoja?
Kama unaamini katika huo msemo, hebu tuambizane:
Kabla hujapata pesa ulikuwa na tabia zipi ambazo sasa umebadilika?
Au kama bado hujazipata, ni tabia gani ambayo unaitamani...
Kwa waliosoma Tamthiliya ya Mfalme Juha (Farouk M Topan) nchi ilivyokuwa inaongozwa na sheria zake tukumbushane.
Kuhusu sheria .
Watoto wa bibi kizee walienda kuiba nyumba mbovu ikawaangukia...
Nawasilisha kama kichwa kinavyosema. Hilo neno ndio identity ya JF kama hujawahi kulitaja iwe topic au kwenye comment yeyote nakupa million sasa hivi.
Yataje maneno mengine hapa ambayo ni identity.
Mwanafunzi mmoja alikuwa anavutiwa kimapenzi na mwalimu wake ambaye alikuwa ni mrembo haswa.
Basi siku moja mwalimu yule alitoa test.
Yule mwanafunzi akachomekea na barua yenye ujumbe wa mapenzi...
Wale wadau wa kuishi geto pale ambapo unapigiwa simu na mdau au ndugu anasema anakuja kwako. Naomba ujibu kama mtu ambaye hutaki wageni kabisa.
Mimi najibu "Nina mishe nyingi ndugu nitakuja tu...
Napenda kuwapongeza mmekuwa selection yangu ya kwanza hapa Jf.
Kwa muda wote toka nipo Jf sijawahi kuangukia pm iliyowazi.
Kuna watu huwa natamani tuzungumze nje na huku jukwaani ila kila...
Kuna misemo mingine mimi naona wahenga kama walikosea namna ya kuisema ili iweze kuleta mantiki katika kufikisha ujumbe husika.
mingine haikuwa na maana yoyote kuwekwa kwenye kamusi ya methali au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.