Hivi kwa nn siku hizi tukienda disco haipigwagi blues? Ukute ulienda peke yako bila mupenzi halafu muda wa blues ufike [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utaona mtu anazunguka kona...
Wakati nipo mdogo mzee wangu aliniachia atlas. ilikuwa ya kiswahili na picha nzuri sana. Basi nikiisoma nilikuwa najenga picha hiyo sehemu ikoje napata raha sana.
Kuna haya majina yalikuwa...
Mimi binafsi mataulo makubwa nimeacha tumia miaka ya adolf hitler nikiwa form 2
Nakumbuka ilipiga mvua kubwa mno nikachelewa kushuka bwenini nikakuta mzigo umetupwa kitandani kwangu akati nilikua...
Huwa mm binafsi ubinafsi sipendi
Tabia ya kusifia viongozi fulani ati yy
Kaleta maendeleo huwa sipendi kamwe
Hawa wanaosifia bado wanakosa kujua
Maendeleo au utajiri si vya mtu mmoja
Kumbuka...
Oooraah inakua nigani Machaliganse na Ma'mamiloonse humu ndichi..?!I hope mko Yechu..
Okay here we go, Ngoja nidane chapcheree kwenye Mada,,Kuna siku bhana tukiwa zetu JKT baada ya kumaliza...
1-Binadamu amejaliwa uwezo wa kulala kifudifudi tofauti na wanyama wengine.
2-Tembo hawezi kuruka hata hatua moja.
3-kuna Baadhi ya wanyama wanaweza kusinzia huku wamesimama Kama vile Ng'ombe...
Hivi kwanin wanawake sio waelewa.. Embu cheki huu mkasa umetokea asubuhi hapa nyumabani kwangu..
Mke wangu alitoka kaenda sokoni kamuacha mtoto kitandan na mim tukiwa bado tumelala.. Mara mtoto...
Kuna mpangaji wangu ni kama anaboa sana.
Kila akiingia bafuni utasiki 'pyeee…'. akipenga kamasi lake. Na sijui huwa analipaka wapi huko bafuni.
Kuna ulazima wowote wa kupenga kamasi kina unapooga ?
Tukiwa wadogo tulitembelewa na binamu yetu kutoka kijijini. Tulimpokea vizuri na kwasababu tulikuwa rika moja tukalala pamoja. Usiku ule tulikula chips na nyama za kukaangwa. Ndugu yangu yule...
Hii imekaaje wataalam!
Jana nilitengeneza kitoweo cha ugali na nyama kilo moja na robo!
Kabla ya kuanza kula nilipima uzito wangu ikasomeka Nina Kilo 79!
Nikaandaa nyama fresh na ka-ugali...
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea hebu mtaje X wako kwa jina moja tuu ambae hadi leo bado unampenda
Mimi upande wangu kipenzi changu mtoto Kissa wa pale Mbezi kwa makabe umeniacha mwaka tano...
Wakuu, nilikuwa nawaza sana watoto wangu niwaite majina gani, nashukuru kupitia JF nimeshachambua majina kati ya majina ya members humu ambayo nitawapatia watoto wangu.
Mtoto wa kwanza ataitwa...
Nani humu ndani hagusiki na anaogopeka kila akitoa comment yake ni ya nguvu haina mjadala.au tuseme kauli yake moja tu inatosha haihitaji ubishi
Kwangu me Ni The boss huyu humzoei zoei kinyanga.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.