JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wana JF habari za leo, nimeona nizungumze hili swala kwa wote wanaonzisha nyuzi humu JF. Unapoanzisha uzi unategemea member wengine wafurahi, wajifunze na zaidi wachangie kwenye uzi wako. Shida ni...
6 Reactions
13 Replies
768 Views
Punguza marafiki ambao ukiwaambia unataka kufanya kitu wanakujibu "utawezaaa?" Punguzaaaa! Punguza marafiki ambao kutwa wanataka mchafue meza bar. Punguzaaaa! Punguza marafiki ambao umeongea nao...
13 Reactions
38 Replies
3K Views
Habari wananchi wenzangu, najua kipindi hiki watanzania wengi kama sio wote wamesafiri wapo nje ya nchi yao ... sasa ombi langu Mimi naomba kila mtu ataje yupo nchi gani na maisha yapoje huko...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Neno "SHOW TIME" litawapeleka wengi mbali na pepo . Kama wewe ni mdau wa neno hili jipange maana mbingu haikuhusu. Pia kama una maana nyingine ya neno "Tigo" tofauti na ile ya mtandao wa simu...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Ni kwanini Mzungu akiona anataka 'Kujamba' hasa mkiwa katika Kikao katika hali ya 'Kiustaarabu' kabisa ataomba 'ruhusa' ya kutoka nje ili 'asiwakere' lakini kwa Mwafrika ( hasa hasa Mswahili )...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Hi guys.. Kuna wasanii wana bahati sana wao kila nyimbo wakiimba ni hit, au wakiimba inakua nzuri sana. Mimi wangu ni hawa.. Runtown G nako (akishilikishwa) Jux Celine Dion Enrique Iglesias Sia...
9 Reactions
123 Replies
9K Views
Do you remember those days you sat with your ex and gave names to your unborn babies?😅😅😅😅 2 idiots😅😅
3 Reactions
30 Replies
2K Views
I can only imagine hali ya mwanamke aliyemchomolea diamond back in the day...
1 Reactions
50 Replies
4K Views
Tumia huu uzi wa kumaindi masuala uliyoshindwa kumaindi kwenye group lenu la whatsapp la familia. Upo free kumlaumu hata shangazi humu na hatutakujaji.... Binafsi namlaumu sana mzee kwa kutaka...
4 Reactions
45 Replies
2K Views
Ebu tuchangamshe akili kidogo. .. Mbali na kuku penda na kuku miss ,,kuku gani mwingine unamjua???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Ukikaa na watu wanaoamini uchawi na kupiga stori za uchawi huwa Kuna mambo ya kushangaza Sana. 1. Mmoja anasimulia eti Kuna mzee alikamatwa na radi ameiweka kwenye mfuko wa salfeti. polisi...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Namba moja michepuko-hao ni balaa! Namba mbili mama chanja(mamsap) Namba tatu ndugu na jamaa! Namba nne, kanisani/msikitini! Namba tano michango ya jamii-ulinzi shirikish, gari la taka n.k. Namba...
1 Reactions
9 Replies
732 Views
Watu wengi wanaoendesha magari aina ya Alteza ama Subatu wana matatizo, ni watu wanaopenda kusikika ama kujulikana kama wapo, watu wanaopemda kutambulika uwepo wao, kwa kitaalamu tunaita...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Sema chochote unavo jisikia kuhusu usanifu wa lugha ya kiingereza
1 Reactions
36 Replies
2K Views
Habar zenu wakuu. Leo nmeshangaa sana, mida ya sa11 jioni nilipokea simu kutoka kwa mwanamke nisiemjua, alijieleza vizuri nikamkumbuka vizuri kua ni alienisajilia lain week moja nyuma. Tuliongea...
9 Reactions
48 Replies
4K Views
Weekend ndio imeanza leo, tupeane Ramani za viwanja vya kupata burudani ya muziki na spirit mbili tatu. Akili inanipeleka niende 5n au la chaz
3 Reactions
2 Replies
344 Views
heshima kwenu. kwa wale tusiotumia majina yetu halisi kwenye hili jukwaa naomba tutumie huu uzi kuandika majina ya shule zetu za msingi na miaka tuliosoma kwenye hizo shule ili tuweze...
2 Reactions
195 Replies
17K Views
Mention au post sehemu yeyote uliyopo Mbeya au ulipowahi kuwepo tuweke kumbukumbu humu asee Mimi naanza na isyesye
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Hamjambo humu, nilipotea kwa muda mrefu nilikuwa Sudan kwenye harakati za kutafuta maisha.
1 Reactions
8 Replies
535 Views
Kwanza nimeingia tu ndani nimemuona amenyoa kama bodaboda wale wanao sikiliza singeli..[emoji3525][emoji3525] Alikuwa amekaa sembleni anasikiliza nyimbo inamba maneno ya ajabu kabisa, sijui...
17 Reactions
64 Replies
7K Views
Back
Top Bottom