Juzi kati nimetulia bar moja kwa Morombo, sasa kuna jomba mmoja alikua anakunywa K-Vant kumbe jamaa kichwa panzi!
Akaanza kumzingua bar maid Mara, arushe matusi. Sasa kuna majomba yalikua yamekaa...
Wakuu amkeniiii, mtandao wameachia. wastue Wana na Wana wawastue Wana. mwendo wa kuchati na kupigaa pesaa au kwa wale wa jagd plaza wanasema kudownload pesa hahahaa.
Unashangaa nini uzi tayari.
Wakuu,
Habari za muda huu......, nyie wapenda shikamoo hamlambi shikamoo yangu hata kwa dawa...
Nisikuchosheni,
Kuna kitu kidogo tu napenda tujadili kidogo... hivi wewe umeshawahi kukutana na...
Okay, sijui kama ishawahi kuwa posted humu au la, ila tufanye kama haijawahi kuwa posted tukumbushane tu.
Najua hapo uko na smart yako moja amazing sio? 😁😁 haya basi fresh, sasa waheshimiwa hivyo...
Jambazi "wote laleni chini pesa ni za serikali na
maisha ni ya kwenu", wote wakalala chini HII
INAITWA DHANA ...YA USHAWISHI - kubadilisha
njia ya kawaida ya kufikiria.
••••••••••••••••••••
Kuna...
Trump and Biden are in a plane
Trump: What if I drop 1 hundred dollar bill and make one person happy?
Biden: What if I drop 10 ten dollar bills and make ten people happy?
The pilot: What if I...
The military is cutting staff and decide to get rid of three generals. One from the Army, the Airforce, and the Marines.
All of them are old, grizzled men who had seen their fair share of war, so...
Habar jf
Kama mwenyeji wa musoma ,mkoa wa Mara.Tuwekee hapa maeneo ambayo Mgeni akija haitakiwi ayakose kuyatembelea!!
Sehem za starehe (club,bars,pub na night club)
Sehem Kali za...
HAPA BUSARA INAHITAJIKA
Mwanamke kaazima ndoo ya mpangaji mwenzake chumba cha pili ambaye ni kijana hajaoa. Alipomaliza kuoga akajifunga khanga yake moja akatoka bafuni akairudisha ndoo...
Kwa kweli sijui kama ni Mzee kweli lakini hapa JF ni mtu ambaye amekuwa akitupa mchanganuo mzuri kuhusu masuala ya siasa.Uchambuzi wake kama kawaida kuna wakati ulikuwa unakera watu na kuna wakati...
1. Uko unatembea zako au unafanya jogging ukapishana na mtu anafanya mazoezi ila hiyo harufu ya jasho inayotoka unayokutana nayo wakati mnapishana!...sijui kuna ambao hawafui nguo baada ya mazoezi...
Leo Ni Sikukuu Ya Wachagga Duniani(World's Chagga Day), Ni Siku Kubwa Iliyokuwa Inaadhimishwa Kila Mwaka Siku Ya Novemba 10, Miaka Ya Kabla Ya Uhuru wa Tanganyika na Miaka Michache Baada ya Uhuru...
Hii ndio thread ya mwisho baada ya kuhangaika mchana mzima kwenye thread tofauti, humu ndiyo pakumalizia na kuagana.
Sina jipya wala la ziada, ninavyomaliza andika hi thread mjue kuonana kesho...
Jamaa alikuwa mteja wa kitimoto eneo flani wakati dini yake hairuhusu.
Siku ya siku akachukua baby wake mpya akaamua kumpeleka ili apate kitimoto, baby mpya akijua hapo walipokwenda jamaa hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.