Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu, hivi unauhakika gani rangi zote huwa tunaziona sawa?
Namaanisha mfano unaposema rangi ya njano, una uhakika gani kuwa mimi naiona kama unavyoiona wewe, au...
Ikikutokea umepanda Dala Dala halafu umesimama ( umeshika Chuma ) na mbele yako ameketi ( amekaa ) Mwanamke na mara Yeye wakati labda 'anachati' na Simu akaugusa Uume ( Mkuyenge ) wako ambao na...
Unakuta mtu sio Mme/mpenzi/wazazi au sio mtu wa karibu sana na wewe akipiga simu anapiga weee ,hivi huwezi jiongeza ukapiga simu Mara moja mtu hajapokea ukaacha na ukasubiri akutafute...
My dear Brothers leo ni siku yenu and I'd like to take a minute and let you all know I....WE....appreciate you!!
We might not show it most of the time ila naombeni mjue mnapendwa, mnakubalika...
Ngudu wa jamii habari zenu.
nimeanza ufugaji wa paka nilianza na paka majike manne na dume moja sasa hv nina paka takribani mia hamsini na natarajia ikifika mwezi wa sita nitaweza kufikisha paka...
Naulizia tu maana pia naona Diamond ni mkali kuliko wiz kid sema lugha ndo msala..
Nauliza maana nimetoka kuangalia apa mwimbo wa bilnas anaimba kigumu ila kapakwa poda vibaya maana adi harufu...
Habari wakuu.
Hebu tukumbushane maisha kabla ya WhatsApp na Insta ilikuaje kwako.
Mi nakumbuka nilikuwa makongo sekondari aise, yaani swagga zetu ilikuwa ni kupendeza kuvaa vizuri; mademu...
Haya wale ambao bado hatujaoa unatumia mbinu gani kufua nguo zako. Me kwa upande wangu kwa kuwa sijaoa bado huwa nazikusanya navaa tu week nzima ikifika jumapili anakuja mdada fulani Nampa 2000...
Tukiwa humu humu JF tukichaluana kwa hoja, January hadi December! Uchaguzi hadi uchaguzi!
Ulianza ukiwa na umri mdogo, Mara paap 35, 40, 45 ,50..... n.k ndo zinasogea hivi kama masihara!
Uzee...
Umuofia Kwenu wana JF,
Kwa uchunguzi na utafiti nilioufanya,wengi wa watu walioficha Last seen na Read receipts kwenye whatsapp wana makandokando katika mishe wanazofanya...Ukitaka kujua mtu kama...
Umeingia kwenye usafiri wetu huu mnauita wa Umma, au kwa kimombo Public Transport. Umekaa kwenye kiti mwanaume unatafakari ya hapa na pale ya maisha yako huku ukisubiria gari ijaze abiria ili...
Demiss alikuwa mchangiaji mkuu wa habari za mapenzi. Nakumbuka alishawahi kuolewa na GuDume hawakudumu hata week akaachana naye akaja akaolewa na Mshana Jr ndo hapo akapotea kabisa humu.
Hatujui...
Yani kila siku mnatafuta mambo ya kutuchafua
Imekua ni jambo la kawaida sanaa kukuta tunasemwa vibaya
Tunaitwa
-Wezi
-Watembea na wake za watu
-Tunalelewa
-Mashoga
Unakuta ukionekana umejazia...
Eti watanga mlipotelea wapi wazee. Nakumbuka kipindi nipo primary baba alinunulia Atlas. Sasa kwenye ile atlas kama wamechora ramani ya E.A unakuta kwa bongo wamelocate miji muhimu tu, na hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.