1. Anna Shayo - huyu dada nlisoma naye Sangu Secondary School Form Five. Alikuwa akiishi Mwanjelwa kwa dada yake (kama sijakosea) naye that time alikuwa kidato cha 5 masomo ya Biashara au Sanaa...
Maisha yanaenda kasi sana na maisha yanabadilika, lakini isiwe chanzo cha kudharau wengine, nimeona baadhi ya nyuzi humu wakazi wa Mbezi Luisi na Kibamba kutusema vibaya tunaoishi Mbagala.
Siku...
Masha Love bingwa wa kutingisha u nyonyo duniani, najua huku Kuna watu wengi hawakujui, napenda nikutambulishe rasmi kwa wananzengo wenzangu.
Ile User ID yako ambayo haiko verified naiacha kwenye...
Jamani ndugu yenu roho inaniuma nipo ndani ya mahusiano lakini sijawahi kupewa zawadi na mpenzi wangu mwaka saivi umekaribia kuisha mpka unajiuliza ivi napedwa kweli lakini yaani birthday yangu...
Kama hiki alichokisema leo Jioni katika Redio huyu Mhubiri wa Kanisa la Kiroho la Bwana Richard Mwacha hapo Mwenge Mpakani ni cha Kweli kabisa basi kuna uwezekano mkubwa wengi Wetu tumeshameza...
1. Rais bora Kwangu
Paul Kagame ( Rwanda )
2. Mtandao bora Kwangu
JamiiForums
3. Timu za Mpira bora Kwangu
Simba SC ( Tanzania ), Liverpool FC ( UK ), FC Barcelona ( Spain ), PSG ( France )...
J okoch
Makete
Bwana mpendwa,Dingi
Nimeandika barua hii kukuambia kuwa ninaishi
shule yako kwa uzuri kabisa.
Kwa nini shule hii ni shule yako teachas...
Wahaya wanapenda sana sifa kwakweli ata kama Hana kitu bado atajikweza tu,
Ukimkuta kondakta wa daladala anapiga debe utaskia
"kimara mbezi kimara mbezi na hii gari ni yangu"
Nikipanda Ndege ( japo niweke tu wazi sijawahi Kupanda zaidi ya kuziona tu Angani zikipaa ) halafu nikitua kule niendako iwe ni hapa Afrika Kwetu au Mamtoni ( Ulaya ) kisha nikashuka na ile Mito...
Unakuta mmekaa zenu Maskani ( Kijiweni ) tena hasa Kipindi hiki Joto lililopo Jiji na Kune Boy ( Dar es Salaam ) ili mlipunguze Mwilini mwenu unakuta Mama anamtuma Mtoto wake Dukani kununua Kitu...
Wakati vijana wengi tunakimbiza umri humu tukisema tutaoa mwakani lazima tujiulize tofauti ya demu na mke.Kama unaleta demu wako ndani kwako halafu chakula mnaagiza kilichopikwa na mwanamme...
Hawa wanawake wa kitanga wamezid jamani heeeeee.....
Alikuwa kapanda na bwanake kwenye daladala wamekaa siti moja, mwanamke kamchukua bwanake akamuegesha kwenye kifua chake akawa anamuimbia...
Kuna mshikaji mmoja, alinitembelea Mtwara, basi ile kujimix kitaa siku mbili tatu karudi na ma concept kibao ooh mademu wa mtwara simple sana et vers 1 tu anaingia kingi.
Asijisifu sana leo na...
Nachukia mambo ya kulala wawili,godoro dogo tu nimeletewa mgeni nilale nae mwingine analala upande wa juu mwingine wa chini usiku wakati wa kulala ukigeuka tu unakutana na miguu usoni nusu...
KUWA MKWELI SIKU ZOTE
Mwanamke aliingia kwenye bucha ya nyama na kuuliza
"Una kuku?"
Muuza nyama akafungua friza na kutoa kuku pekee ambaye ndiye alikuwa amesalia akamweka kwenye mizani. Mizani...
Shukrani na dua na sala zimwendee MWENYEZIMUNGU aliyewanyima wanyama wote kuongea akatupa sisi binadamu huo uwezo.
Nani Kama MUNGU wetu? Tutumie ulimi wetu kuongea mazuri ya kuelimisha tugeukie...
Habari zenu JF.
Mwaka 2015 niliingia benki flani Mida ya asubuhi kwenda kutuma pesa za ada ya chuo.
Cha ajabu ile nasukuma mlango niingie ndani kuna mfanyakazi mmoja Wa benki alikurupuka ghafla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.