JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Oraa ni vimnyo machizi boti, madingilii na mamanzi wote humu ndichi..I hope mko yente... Basi bhana acha nidane moko moko kwenye mada yenyewe..Wiki iliyopita tulikua kwenye mahafali ya chuo coz...
10 Reactions
61 Replies
6K Views
Tunaishi kwenye dunia ambayo kila mtu anataka aonekane msafi na mtakatifu machoni mwa watu, hata kama usafi huo utagharimu furaha na Maisha ya wengine. Kila mtu amekuwa na mamlaka na msemaji wa...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Huu ni uzi wa kutupia vichekesho na vimbweka vya kingereza tu japo mimi nimeanza kwa kiswahili 😅😅 anza na hii my son is stupid imaging he get zero even if i do his hormwork for him😅😅😅
7 Reactions
90 Replies
12K Views
Habarini wakuu , Ni zaidi ya siku kadhaa baada ya kuwepo kwa zuio la baadhi ya mitandao hasa ya kijamii nchini Sites kama AppStore , PlayStore , YouTube, Instagram, WhatsApp, Telegram ...
2 Reactions
5 Replies
953 Views
Habari kwa wote! Imani yangu wote ni wazima. Kabla ya yote naomba tufanye assumptions chache ili mada iwe nyepesi na tuzungumze vyema. Assumptions hizo kama ifuatavyo:- Dunia ni ideal. Ideal...
3 Reactions
7 Replies
756 Views
Nchi ya Marekani iko kwenye mchakato wa uchaguzi wa Rais kwa sasa. Naona kimya humu wakati wao mambo yetu wanayafuatilia, hebu tujuzane humu kinachoendelea huko. Wale wa : Washington DC New York...
1 Reactions
8 Replies
647 Views
Wakuu, KUBANWA mkojo ni hatari sana hasa pale unapo banwa na sehemu ya kuutoa hakuna...!! Binasfi natoka nzangu mkoani naingia dar nimefika mikumi wese likanibana dereva ndo Kwanzaa anaingiza...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Bunge lijalo Spika; Wabunge Mmepoa Sana, Eh Nyie Wastarabu Adi Raha [emoji4] Wabunge; Paaaaah! Paaaaah! Paaaaaah Spika; Muheshimiwa Gwajima Tunaona Mkono Hapo Gwajima; Nina La Kusema Basi...
13 Reactions
23 Replies
2K Views
George W. Bush, Barack Obama, and Donald Trump are dead and stand in front of god. Politics God asks Bush: “So? What do you believe in?” Bush answers: “I believe in a free market, a strong...
1 Reactions
2 Replies
600 Views
Kwa mfano ulikuwa unamkimbiza mwizi aliyekuibia pochi yenye laki tano na simu ya thamani ya laki tatu, mara kichochoroni ukamuona mpenzi wako na mtu mwingine wamekumbatia na wanapigana mabusu...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Mmoja kachinjiwa hai na mwingine wamemchinjia kigoma sasa najiuliza ubungo na buguruni wanafuata nini [emoji848][emoji848]
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Tangia asubuhi wananipeleka machaka ambayo ndio dream yangu kuyafikia siku nikitoboa. Kuna muda wamenipeleka kwa Trump,sijakaa vizuri wakanipeleka Belgium bado natafakali wakanishusha Paris kwa...
8 Reactions
39 Replies
3K Views
Just pretend FamiiForums is google and search for anything you wish to know. Someone will definetly reply you in seconds or minute. Some people are natural encyclopedia or a genius. Let the...
0 Reactions
42 Replies
3K Views
Habari ya kusikitisha! [emoji24][emoji24][emoji24] Hii imetokea katika katika Hospitali kuu ya wilaya kiteto katika kituo cha mabasi karibu na hotel ya lusaka leo asubuhi Kuna machafuko mengi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Namsubiria mdada atakayecomment wa kwanza nianze naye.
16 Reactions
516 Replies
41K Views
Nikununulie bia halafu usiondoke na mimi...aaahhh waaapiiii.
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari wana Chitchat Leo nimekumbuka wale wanaochezesha kamari minadani wale jamaa wanatapeli sana watu simu,hela na pia ukiingia unawaona wako watu wengi wanacheza kumbe wote ni kitu kimoja...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wananzengo mnaonaje CCM tuipeleke ikatuwakilishe kwenye michezo ya kimataifa. Maana si kwa ushindi huu World cup. Mataifa ya africa afcon. Aisee huko tutawashanza wengi nakuambia. Kwenu CCM...
1 Reactions
5 Replies
992 Views
1. Unatoa mimba halafu unalala na midoli kitandani.. - Ni maamuzi magumu. 2. Huna hata kitanda na unaamua kuoa - -Hayo pia ni maamuzi magumu. 3. Huna uwezo wa kumlisha mkeo kazi yako ni kumjaza...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Huko kwenu vipi jamani mimi huku kwetu naanza kuzoea haya maisha ya kuishi bila WhatsApp, Facebook, YouTube, Telegram saivi na enjoy tu hapa Jamiiforums😂
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom