Nakumbuka baadhi ya majina ya walimu waliyopewa na wanafunzi kama ifuatavyo:
1. Solar system - mwalimu wa geograph form 1 au 2 alifundisha solar system akapatiwa jina hapohapo
2. Bambabay -...
Haya maneno yanatamkwa sana na watoto wa mjini siku hizi.
Zamani ilikuwa ukimuona wakuja anashangaa shangaa wenyeji au wazawa walikuwa wanasema acha kushangaa wewe mbwiga kashangae feri shilingi...
Hapa nitakuwa naandika series wahusika wakiwa ni member wa hapa jf ni kastory ka uongo na kweli ..
Na wala member ypyote atakayetajwa basi hakuna ukweli wowote na uhusika wake hapa.
Pita hapa kwa...
Niaje mambo vipi? Wadau nipo nawasalimia kuanzia wewe na familia yako mko poa, okey wadau mi sina maneno mengi 😁 Sana ila niseme tu maisha haya ni kusameana tu na mwaka karibia unaisha tusiwe na...
Mfano..mpo sehem ambayo ni mkusanyiko wa watu wengi muda wote, yaani kuanzia asubuhi mpaka jioni.
Sasa katika mishe mishe(matembezi) mara paap kuna ela ipo chini haijulikani ni nani...
Sehemu nyingi nilizoishi ni uswazi, nitakachokwambia hapa ni uzoefu wa moja kwa moja kipindi cha utoto niliwahi kua kwenye kundi lililojiita Majani Unit (halipo tena hili kundi) lilikua na...
habari wana jamvi, kuna uzi umewekwa jana na mkuu Mhere Mwita kiukweli uzi wake umenikumbusha mengi sana ukizingatia na mimi nimepitia hapo IAA. so lengo la uzi huu kama wewe umepitia IAA...
Shida kidogo tu unataka kuacha kazi.
Shida kidogo tu unahama nyumba.
Shida kidogo tu unadai talaka.
Shida kidogo tu eti ooh bora nife
Weweeee maisha hayapo hivyo pambana mpaka ushinde.
Nawasalimu wanaJF basi ningependa niende moja kwa moja kwenye kisa hicho cha kweli kilicho tokea miaka ya nyuma.
Julia Pastrana ni mwanamke aliyekuwa na roho nzuri lakini alijulikana kuwa ni...
MGENI KUTOKA MJINI
Upo mjini mfano tuseme Dar es Salaam unapiga simu kijijini kuwa unaenda kuwasalimia wanafurahi sanaa. Inafika siku ya safari haukauki midomoni mwao wakizungumzia ujio wako...
Habari?
Naangalia series ya 24, nipo episode ya kwanza season 1. Nashindwa kuelewa hawa watu wanaongea accent ya wapi ngumu namna hii.
Kuna mwingine amekutana na hili?
Hii ni kwa uzoefu nilionao na JF
• Tuwekee na kapicha kidogo!
• Siti ya Mbele kabisa
• Lumumba buku saba
• PoliCCM
• Chadema ni mpango wa Mungu!
• Wasiojulikana
•
Unaweza ongezea!
...amani iwe kwetu sote.
Leo nimetoka zangu mihangaikoni naludi geto mida ya usiku tatu kasoro ,ile nashuka tu stand...hatua chache mbele nikakutana na mnada wa nguo afu Bei chee,nikasema ngoja...
1. Sabuni ikianguka bafuni ndo siitumii tena najimwagia maji natoka.
2. Nikiangusha dodoki wakati wa kuoga hata kama ndo nimeanza imeisha hiyo.
3.Nikioga lazima nibakize maji ya kitosha niyamwage...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.