Can you guess the Lyrics of Different Songs Then Let's Play A Game
One Person writes the lyrics of any song then U have to guess the song...
Unaweza bahatisha mashairi ya nyimbo.
Tucheze huu...
Habari hii sio yangu, nimeikuta mahali nikaona tujikumbushe tuliyowahi kuyapitia miaka ileee. Inachekesha lakini inasaidia kutukumbusha kuwa wakati si milele...
Kulikuwa na UHIMA(CASFETA),UKWATA...
Najaribu tu kuwaza, assume zile ups and down, happy moment ulizopitia na kila aina ya changamoto ulizo experience katika maisha yako yoote yageuke kuwa ndoto za usiku.
Kwamba hayana uhalisia...
Kuna muda akili zetu hupatwa na wenge inakuwa Kama ufahamu umeyumba flani hivi,tunaweza sema ubongo umeyumba kwa muda!..
Ktk kumbukumbu nilishawahi mzingua father kwa wenge nililokuwa nalo...
Kama utakesha usiku huu wa leo tuambie unakeshea wapi usiku huu, tukianza na mimi usiku huu wa saa 4:18 nipo chimbo linaitwa tughimbe night club kama kuna mtu hili jina sio geni kwake anyooshe...
Wakuu weeks kadhaa zilizopita nilileta uzi hapa jukwaani kuuliza walipo vipoozeo vyetu aka chakula cha kichwa kidogo huku Dodoma
Kwa kufuata ushauri uliotolewa humu na members kadhaa nikapitia...
Niliachana na ccm mwaka 1984 kwenye ile vita ya uhujumu uchumi iliyotumiwa vibaya na watendaji wa ccm chini ya hayati waziri mkuu Edward Moringe Sokoine...!!!!
Biashara za familia zilizikwa na ile...
Upo zako Ugenini Umetulizana Kwenye Sofa Unawaza mambo yako yanavyo kwenda Ndivyo Sivyo, Ghafla Unaskia Sauti Ikiongea kutoka Jikoni,, Mnamuamini Vp Kumuacha Pekeyake Sebleni...
Sijui ni mimi tu , au pia wenzangu mko hivyo yan kama tunachart ukishanitumia huo ujinga wa sticker zile za vibonzo au nyinginezo na zile vilugha sijui vya xaxa nakutema mazima yan kwa huo...
Kikundi cha mziki kilichopo milambo kinachoitwa PiTCHO GANG kimeachia Ngoma kuhusu milambo. Nyimbo inaitwa CHAMA LA WANAUME inapatikana YouTube....
Itafute upate burudani...
Miongoni mwa...
Habari za mida hii je nyie ni wazima wote Nyumbani hapo, kuanzia baba, mama, kaka zako dada zako ndugu zako wifi zako waambie nawasalimia aaah nimesahau🤦 nyau wenu pia mwambie namsalimia😜
Okey...
Usafiri wa dalaldala ndio usafiri mkubwa na unaotumika na kundi kubwa la raia katika nchi yetu ya uchumi wa kati na hivyo huwakutanisha watu wa aina mbalimbali pamoja kwa muda fulani iwe ni...
Hii kitu imenishangaza sana leo nina miaka miwili mahali ninapoishi.
Mara nyingi ninapotoka kwenda kwenye mihangaiko yangu napenda kuvaa kiofisi kila siku. Ajabu leo wakati natoka nyumbani kuna...
Amani iwe nanyi.
Huwa najiuliza sana ivi Gwajima anamchukuliaje Harmonize .?
Kuna ule mstari ktk nyimbo ya harmonize UNO kuna kipande kinasema "NDO LILE GWAJIMA ALILOMPATIA KONDOO" Unooo ooh...
Habari zenu wana JF
Juzi tar 26 nilileta Uzi hapa jamvini wa kumtafuna jimama wa kizungu
Na leo tarehe 28 amenitafuta tena anataka leo saa 11 jion niende kwake nikampe kampani kisa anafeel...
Habari zenu
Ipo hivi, hapa job kwetu kuna wageni wawili wanaume wa kizungu. toka germany. so wameniomba this weekend niwapeleke night club nzuri wakaparty. nkasema poa.
Lakini kiukweli sio mjuzi...
Niadje wadau, hivi utajiskiaje au utafanyaje endapo ukikutana na situation kama hizi. Umemtumia mtu hela afu anakujibu "enx"
Umemkaribisha rafiki akho kwene kaghetto kwako afu unaenda kuoga ile...