JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Maisha ni kama maua huchanua na kupukutika. Hata mapenzi ndivo yalivyo
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Bon Mwaitege (B.M) Bernad Morson (B.M) Bwana Mkubwa(B.M) Benjamin Mkapa (B.M) Bernard Membe (B.M) Black Mamba (B.M) Bruno Mars(B.M) Basic Mathematics (B.M) Bar Maid (B.M) ... ...tuendeleee
6 Reactions
117 Replies
12K Views
Huyu aliyegundua pesa jamani sijui aliwazaga nini manake hii kitu inapendwa sana na dada zetu. Sijui kuna siri gani kati ya wanawake na pesa,?? Yaani ukiwa na pesa unaweza fanya chochote kwa...
1 Reactions
5 Replies
990 Views
Ukiachana na pancha, ni kero gani ingine huipendi unapokuwa umepanda ndege.
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Ujumbe Kwa wadada wote mnapozozana. Naomba muwe mnavua barakoa. Sisi wapitanjia tunazubaa kuwaangalia ila hatusikii mnachosema. Tunang'ang'ana Sana 😂😂😂😂😂😂😂😂
1 Reactions
2 Replies
797 Views
Nijuavyo mimi ni neno la kumpa heshma mtu aliyekuzidi umri.Sasa maswali yangu ni 1.Ni kuanzia tofauti ya miaka mingapi ndo unaweza kumpa mtu neno hili. 2.Na pia kwa kizungu tutasemaje?
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Katika maisha kuna kitu kinaitwa urafiki wa ukweli.yaani Utakuta watu wameshibana hatari...alipo huyu na mwenzake yupo. Au mmoja akiwa na shida hata usiku wa manane mwenzake atapambana kumsaidia...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Hata kama huna gari, huna hela na hata ukipata hela kuna baadhi ya magari yamekaa na sura/muonekano sio rafiki, hayakushawishi, yataje. Mimi binafsi sijawahi kumiliki gari ila ukinipa lift kwenye...
1 Reactions
13 Replies
871 Views
Igweeeeeeee Wadau jumapili nilikuwa kikazi Kahama kama kawaida yangu nikifika sehemu ambayo sina ndugu hupenda kuchukua hotel iliyo karibu na kiwanja kilicho changamka . Wadau Kahama mimi si...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Kauli kama hizi znakupa tafsiri gani kchwan???? "Muke ya Muzungu" "Achana na ngozi nyeupe hizo n level nyingine" "Kuna raha ya kuchanganya....toto inatoka shombeshombe, inangaa haswaa" Hebu weka...
1 Reactions
19 Replies
939 Views
Apa ni wale ambao akinywa pombe anakua mdadisi sana wa ishu. Kunae jamaa angu. Kila akinywa pombe utaanza sikia oooh kwani mimi na wewe tushagombana! Onyo; hakuna onyo lolote
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Nadhani hapa sasa Tanzania kama nchi tunaweza kuanza kuvuna matunda ya hili daraja, maana loss tuliyokuwa tunaingiza kwenye foleni za Ubungo kama taifa, ilikuwa kubwa mno!! Ona video.
0 Reactions
38 Replies
4K Views
*Mvaa milegezo alizidiwa na pombe akaenda kulala dampo, Chizi mwingne naye akaenda hukohuko, alipofika dampo akakuta mlevi kalala matako wazi, chizi akaanza kuyashikashika huku akisema, kweli...
7 Reactions
37 Replies
11K Views
Mnisaidie kusoma hiyo karatasi sijajua nimeandikiwa nini humo ama naitwa na Mwenyekiti wangu wa mtaa, karatasi hiyo kaleta mtoto mida hii hapa,
5 Reactions
28 Replies
4K Views
Habari Wakuu, Nilikuwa naangali UTV kipindi cha KAZI ambapo wanahoji watu wanaofanya kazi mbalimbali za kujipatia kipato. Sasa katika kipindi cha Leo walikuwa wanawahoji watu wanaouza...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
✓Ati Mungu hana moyo[emoji23][emoji23] ✓Ati Mungu hana moyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unajua kuna wakati baadhi ya wachungaji wetu wanatuona waumini ni 'MABWABWA'...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ile hali ya kutojiamini sijui kubutwaaa au nini,,, unakuta umekutana na mtu iwe njiani au hata kwako ghafla , Wakati wa maongezi yenu unajikuta unamjibu swala tofauti na alilokuuliza au...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Nimeamua kuushtua UMASIKINI, Naomba kujuzwa ni wapi nitapata Mercedes-Benz G63 ya mwaka 2020 iwe used kidogo, sina hela ila naulizia bei tu ili kuushtua UMASIKINI nilionao na pia naomba kujua; >...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom