Huyu aliyegundua pesa jamani sijui aliwazaga nini manake hii kitu inapendwa sana na dada zetu. Sijui kuna siri gani kati ya wanawake na pesa,?? Yaani ukiwa na pesa unaweza fanya chochote kwa...
Ujumbe Kwa wadada wote mnapozozana. Naomba muwe mnavua barakoa. Sisi wapitanjia tunazubaa kuwaangalia ila hatusikii mnachosema. Tunang'ang'ana Sana
ππππππππ
Nijuavyo mimi ni neno la kumpa heshma mtu aliyekuzidi umri.Sasa maswali yangu ni
1.Ni kuanzia tofauti ya miaka mingapi ndo unaweza kumpa mtu neno hili.
2.Na pia kwa kizungu tutasemaje?
Katika maisha kuna kitu kinaitwa urafiki wa ukweli.yaani
Utakuta watu wameshibana hatari...alipo huyu na mwenzake yupo. Au mmoja akiwa na shida hata usiku wa manane mwenzake atapambana kumsaidia...
Hata kama huna gari, huna hela na hata ukipata hela kuna baadhi ya magari yamekaa na sura/muonekano sio rafiki, hayakushawishi, yataje.
Mimi binafsi sijawahi kumiliki gari ila ukinipa lift kwenye...
Igweeeeeeee
Wadau jumapili nilikuwa kikazi Kahama kama kawaida yangu nikifika sehemu ambayo sina ndugu hupenda kuchukua hotel iliyo karibu na kiwanja kilicho changamka .
Wadau Kahama mimi si...
Kauli kama hizi znakupa tafsiri gani kchwan????
"Muke ya Muzungu"
"Achana na ngozi nyeupe hizo n level nyingine"
"Kuna raha ya kuchanganya....toto inatoka shombeshombe, inangaa haswaa"
Hebu weka...
Apa ni wale ambao akinywa pombe anakua mdadisi sana wa ishu.
Kunae jamaa angu. Kila akinywa pombe utaanza sikia oooh kwani mimi na wewe tushagombana!
Onyo; hakuna onyo lolote
Nadhani hapa sasa Tanzania kama nchi tunaweza kuanza kuvuna matunda ya hili daraja, maana loss tuliyokuwa tunaingiza kwenye foleni za Ubungo kama taifa, ilikuwa kubwa mno!! Ona video.
Habari Wakuu,
Nilikuwa naangali UTV kipindi cha KAZI ambapo wanahoji watu wanaofanya kazi mbalimbali za kujipatia kipato.
Sasa katika kipindi cha Leo walikuwa wanawahoji watu wanaouza...
βAti Mungu hana moyo[emoji23][emoji23]
βAti Mungu hana moyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua kuna wakati baadhi ya wachungaji wetu wanatuona waumini ni 'MABWABWA'...
Ile hali ya kutojiamini sijui kubutwaaa au nini,,, unakuta umekutana na mtu iwe njiani au hata kwako ghafla ,
Wakati wa maongezi yenu unajikuta unamjibu swala tofauti na alilokuuliza au...
Nimeamua kuushtua UMASIKINI,
Naomba kujuzwa ni wapi nitapata Mercedes-Benz G63 ya mwaka 2020 iwe used kidogo, sina hela ila naulizia bei tu ili kuushtua UMASIKINI nilionao na pia naomba kujua;
>...