Hello,
Nadhani most of us have all been there, maybe nduguyo kakupa zawad ya million 5, au dili zimekubali ukashika mpunga mrefu, au job ndiyo umepokea mshahara wako wa kwanza au maybe umepata...
Kufuatia maoni ya wadau mbalimbali. The Youths Forum inakuletea mashindano maalumu kwa ajili ya Walimbwende hapa hapa JAMII FORUMS..
THIS IS SEASON 1..
Unachotakiwa kufanya ni kumpigia kura...
Mwezi uliopita nilialikwa harusi moja kama mgeni wa heshima, tena mwaliko ulikuwa wa simu tu sikuletewa kadi, mambo ya minuso na madikodiko huwa sifanyi makosa kabisa, harusi ilikuwa kwenye moja...
Baada ya maelezo nitakayotoa nitaomba ujibu maswali 13 tu kwa akili yako ili uone una nafasi gani katika suala zima la intellectual capability hii ni kwa faida yako binafsi na majibu nitatoa na...
Natumaini mmeshasalimiwa sana tangu asubuhi hadi mmechoka.
Ok mchongo wa leo ni kuhusu Usafi au umaridadi au utanashati.
Wakulungwa tujipende wazee,
kuwa msafi haimaanishi unapoteza "uanaume"...
Ni bibi Mzee
Kapinda mgongo na dental formula imebaki nusu.
Mvi kichwa Kizima.
Leo nimemfuatilia nimeshangaa
1: anafuga Kuku na kuwahudumia mwenyewe. Sio Kuku tu Bali hata mzinga na kanga...
Kwa wale wakali wa hizi show ambao wao ni domo zege Ila ukija upande wa simu ukishampa tu namba utashangaa anavyotiririka na verse.
Wale ambao wao ni waoga kutongoza pisi kali eti mpaka wapate...
Mahali ninapofanyia shuguli zangu kuna mkaka kapita na baiskeli ni hawa wanaouza sumu za panya "habari, kuna dada nimepishana nae hapo nyuma kaniambia nikuletee sumu ya panya" me nikashangaa sana...
Nimeshangaa kuona JF humu kuna watu wanafahamiana na wanajuliana hali Mara kwa mara. Hata ukipita kwa kutaja jina lako la JF na jukwaa unalopendelea na kwanini sio mbaya
Je, wamejuana vipi...
As the Chit Chat says Talk about anything that falls under no category..
Now Let us have a simple Competition here.
You just need to Choose one language either Swahili Or English...
Basically...
Hii ni list ya mikoa kumi inayoongoza kwa uchawi Tanzania. Kama warning ukielekea huko kuwa na tahadhari.
1. Shinyanga
2. Rukwa
3. Kigoma
4. Mtwara
5. Tanga
6. Simiyu
7. Lindi
8. Tabora
9. Ruvuma...
Wazee mmeiona katuni ya kipanya leo kwenye gazeti la mwananchi ukurasa wa 6,ipo safi sana! Eti CHADUMAA wanazika tu watu kwa siasa zao zinazofanikiwa sana kwa sasa za umwagaji damu ya watanzania...
Is the word man in the bible or in the Quran used only to denote 'ADAM'? It seems most people do not know that it can also be used to denote Humankind or Humans or Human beings or even be used to...
Niliwah kushiriki kwenye kamati ya harusi ya mtu Wang wa karibu, ilikua ni Mara ya kwanza kwangu kushiriki ktk kamati ya maandalizi ya harusi nilijifunza Mambo mengi lakin kitu kilichoniacha mdomo...
Kwenye maisha kuna vitu vingi vinatokea kila siku vingine vinafurahisha na vingine vinakera au vinakuchukiza sema hutakagi kusema tu.
Kwa mfano vitu vinavyonikera Mimi
Ni pale unapoenda kanisani...
1. Usizungumze na mtu aliyevaa earphones Kimsingi unapoteza wakati wako.
2. Usizungumze wakati wa kutafuna au kula.
3.Usiweke picha zako kwenye mitandao ya kijamii wakati umetoa ombi la...