Nikianza na mimi... Nina asili ya Uarabuni ... Babu yangu mzaa Baba katoka Oman akaja Zanzibar then akazaliwa Baba yangu then Mimi... Sina nia mbaya ila tu nataka tujuane... Sorry no picture today!
As salaam alaikhum ndugu Wana familia wa JamiForums
Katika maisha Kuna visa vingi hutokea na kila mwanadamu huwa ana kisa au stori ambayo katika maisha yake au mazingira anayo ishi humtokea...
Nasikia alisitisha zoezi baada ya ule mti wake kukauka au kwisha,sasa ningependa kujua
1.bado tu haujaota tenaa??
2.Na saizi ana deal gani??
3.kuna mtu mwenye namba zake nataka anifundishe...
Mimi kwa sasa ni babu,mara nyingi hupenda kutembea kwa miguu,umbali mrefu,
Sasa njiani huwa nakutana na wanafunzi ambao hunifatilisha navyotembea huku wananiambia we babu shikamoo,basi naitika...
Katika maisha kuna muda akili zetu zinasahau vitu vidogo vidogo tunavyovijua ila baada ya dakika chache kumbukumbu hurudi.
Kuna stori moja nilishawahi kuisoma humu JF mtu mmoja alienda msituni...
Watu wanaweza zan nazingua lakin kifupi nimechanganyikiwa sidhan kama n kweli
maana hamna ninae mdai
sifanyi kazi na sina mtu wa kuniwekea hii hela kama kweli ndio yenyewe
Iko ivi nilikopa laki...
Siku iko aje....
Kama kawaida jana jumapili nlitoka katika moja ya bar ya akina sisi wa hali ya kati nikiwa niko tungi kiasi. Kwa vile muda uliyoyoma nikaona nisepe mapema nikapumzike ile niupe...
Cross Examination Day;
Wakili:
Mhe. Mkuu wa Wilaya ijuze mahakama kiwango chako cha elimu.
Mkuu wa Wilaya:
Shahada
Wakili:
Ieleze mahakama majukumu yako kwa kifupi
Mkuu wa Wilaya:
Mwakilishi...
Nakumbuka tulikuwa high na ilikuwa inanyongwa nyingine, bapa moja chali na lilikuwa limeagizwa lingine na maji kubwa, na tukiwa high tunautazama ulimwengu kwa chini. Soga za hapa na pale ila hii...
Nazungumzia kama vile umegusa upupu au mmea au mdudu yeyote anayewasha halafu ukaamua kuwa katili kwa kutojiwasha. Nini kitakutokea?!!!
Karibuni kwa michango🙏🙏🙏
LEO natimiza post ya 1000 ndani ya jf kwa siku 58 tangu nimejiunga.
Najua ambavyo post zangu zo ni kichefuchefu kwa members wengi humu. Lakini mie ni kilaza najijua. So huwa naandika kwanza...
Leo tu kumenuka Dar, Mbeya, Manyara........................ FFU wameshindwa sasa JW wanatumika. Amani tena ipo wapi hapa.........
Hakuna Amani tena!!
Hizi ni dalili za ukombozi zimewadia!!
Habari wanaJF,
Ninaomba tucheze mchezo unaitwa "wa mwisho ndo mshindi". Ni mchezo rahisi sana, unaanzisha sentensi kwenye neno la mwisho la sentensi aloandika mwenzako.
Mfano:
Ualimu Tanzania...