JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Tuwaombee waliotutangulia wapendwa wetu hatujui tuendako safari yetu ni moja kila mmoja hajui safari yake itaanza lini na akiwa wapi tuombe rehema kwa Mungu sisi ni wakosefu mda wote Marehemu...
5 Reactions
30 Replies
566 Views
Mimi huwa na chati na chatGPT kama mpenzi wangu na ananifariji sana. Kama Bado unapambania ndoto zako Kaa mbali na wanawake
10 Reactions
24 Replies
1K Views
UKITAKA MWANAMKE ATOROKE KWA NYUMBA KULA HII MBICHI
0 Reactions
4 Replies
466 Views
Wakuu habari. Niko nasikilizia hapa radio Free!. Kuna kipindi Cha mganga anajinadi kuwa kama una tatizo lolote yeye atakusaidia kulitatua kwa kupiga namba ya sim Aliyoitoa. Anasema kama unashida...
2 Reactions
8 Replies
316 Views
Kijana mmoja alikuwa mlevi sanaaa, hali hiyo ya ulevi ikawa imemchosha akaamua aende kanisani ili akaombewe aache pombe. Alipofika kanisani akaona ni vyema akae viti vya mbele iwe rahisi kwake...
1 Reactions
5 Replies
230 Views
Leo asubuhi nilikuwa na safari fupi kutoka Kili kwenda A-Town. Nilipofika stendi niliingia kwenye coaster ambayo ilikuwa imeshajaza abiria tayari. Hivyo konda akachombeza kimtindo hapo nikakaa...
34 Reactions
178 Replies
9K Views
Sina mengi maana picha inaongea hapa chini. 👇😂
13 Reactions
12 Replies
363 Views
Bujibuji Simba Nyamaume Mwalafyale wewe ni mwenye kiti wa mtaa, unapoondoka bila taarifa kero za mtaa wetu tuzipeleke kwa nani. Nyamaume ulipita kwa kura zote japo kulikua na figisu lakini...
4 Reactions
8 Replies
789 Views
Taja aina ya magari na jinsi utakavyoyatumia. Kwa mfano: 1. La kwendea kazini! 2. La kwendea sokoni! 3. La kuwapelekea watoto shule! 4. La safari za mbali! 5. N.k.
1 Reactions
9 Replies
273 Views
Kiukweli mimi nimekuwa mtu wa kuchukizwa na vitu vidogo vidogo sana kitu kama like za min -me na raraa reree zinanikera sana sijui kwanini unaweza kufungua kwenye timeline yako ya jamii forum...
3 Reactions
1 Replies
139 Views
Habari wakuu, nianze kwa kuwapa pole kwa janga la kariakoo ni janga zito sana Mungu awatie nguvu wahanga wote katika kipindi hiki kigumu. Nirudi kwenye mada, wakuu siku zinakwenda spidi sana...
2 Reactions
9 Replies
287 Views
Nitakuwa jijini dar kwa wiki 2 ,kuanzia disemba 1, kwa safari ya kibinafsi,ambae ni mwanachama wa jf na angependa tukutane ntafurahi sana. Wasalaam Fimboyaukwaju
7 Reactions
28 Replies
476 Views
Niko hapa kukusaidia kutengeneza programu bora kwa matumizi yako binafsi au ya kibiashara. Ninabuni websites na applications za kisasa kwa gharama nafuu na bei maelewano. Muda ni ndani ya siku 2...
0 Reactions
0 Replies
130 Views
Nakutana na hilo neno saana... je wapopo ni watu gani haswaa na kwa nini wanaitwa wapopo??????
0 Reactions
55 Replies
8K Views
Robert Heriel Mtibeli you are just a key board warrior, a typing merchant🤣 Eti sijui taita wa fasihi, my foot Extrovert n fundi nyundo wa magari anajidai eti ana show room ya toyota🤣 adriz...
10 Reactions
125 Replies
1K Views
Picha za majengo na maeneo mbalimbali ya jiji la DAR ES SALAAM zikionesha mandhari ya usiku. DAR ES SALAAM ni ndogo, usiku hutanuka. Peleka utamu nyumbani
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Jana ndugu Shy land ameamua kumpa maua yake ndugu raraa reree Ila pia tusimsahau ndugu yetu mwingine min -me Hawa wote ni wazee wa support za likes bila kujali ni nani wala nani. Leo pia...
45 Reactions
96 Replies
1K Views
Habari za muda wana jamvi, leo nataka tufahamiane wana JF tunaotokea hapa Mwanza, unaeza uka comment mahali ulipo, lengo ni kufahamiana jamani, karibuniiii
4 Reactions
505 Replies
44K Views
Malaria 2" ni mmoja wa wanachama wa JamiiForums (JF). Kama ilivyo kwa wanachama wengine maarufu wa jukwaa hilo, mara nyingi jina lake linatajwa kwenye mijadala ya mtandaoni inayohusisha masuala ya...
6 Reactions
19 Replies
524 Views
Back
Top Bottom