JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Umebakia ule mshahara wa mwezi desemba. Tokea jana watu ni kuweka heshima na kumaliza kila kitu, kila ukiagiza unaambiwa kuna foleni ama vimekwisha. Tuonane Njaanuary 2025 kipindi cha kausha...
0 Reactions
3 Replies
318 Views
Kama ulikua huyajui maajabu ya MWANAMKE wacha nikufahamishe;- 1) Ubongo wa mwanamke unafanyakazi haraka kuliko wa mwanaume. 2) Kila mwanamke anaamini kwamba mwanaume ndio anaanza kufa kuliko...
19 Reactions
123 Replies
7K Views
Ukitaka kujua akili ta watanzania wengi ilivyo na shida, subiri foleni. Yani kuna foleni badala watu wakae kwenye line yao wanahamia kwenye line ya magari yanayoelekea uelekeo mwingine. Mwishowe...
3 Reactions
2 Replies
164 Views
Alisafiri na mke wake kwenda sokoni walipofika wakapaki akakaa kwenye gari akimngojea mkewe anunue vitu sokoni mrembo mmoja akapita karibu na gari lake alipomuona akashuka akamfuata huyo mrembo...
4 Reactions
11 Replies
467 Views
Jumatatu na jumanne nitakua huko MwanaJF aliyeko nairobi tuchekiane. Naenda kibiashara ila kila mara ni mguu sawa mguu pande Safari hii nataka nizunguke kidogo
3 Reactions
14 Replies
505 Views
SIKUMPENDA, NILIMTAMANI TU ILA ALIKUFA KWAAJILI YANGU Mwanzoni sikumpenda kutoka moyoni, nilimpenda kwa kuwa tu alikuwa mrembo haswa..kwa kifupi nilimtamani tu...yaani nilitegemea akinivulia nguo...
1 Reactions
2 Replies
376 Views
Mwaka unaisha hivyo ni harusi moja pekee niliyoalikwa, ni tofauti na miaka ya nyuma. Labda pengine mlolongo wa matukio kadhaa umefanya mwaka huu kutokuwa kwenye mipango ya kuoa kwa vijana...
3 Reactions
7 Replies
231 Views
Mfano unakula kitu chochote halafu kwa bahati mbaya kimeanguka, okota na ule. Acha kuogopa bakteria na wadudu wengine hatari kwa sababu wadudu ama bakteria pindi waonapo chakula kimeanguka kwenye...
5 Reactions
19 Replies
680 Views
Unamuomba mtu hela anakwambia hana, Unaanza kushangaa kwanini hana hela!! Lakini wewe hujishangai kwa nini huna hela?
2 Reactions
10 Replies
226 Views
Ilikuwa majira ya saa sita usiku natoka zangu kuangalia mpira wa simba yanga naelekea kufuata usafiri ni juzi kati tu hapo basi nikiwa nimetembea kilometa kama 3 hivi nakuanza kuacha hako kakijiji...
19 Reactions
35 Replies
893 Views
Wakuu leo nitawapa siri nyepesi ya kutambua kama simu yako ni original au MCHINA yaani fake (feki!). Ni rahisi sana coz haihitaji uwe JF expert technician kufuata hatua hizi 1. Angalia...
9 Reactions
51 Replies
2K Views
Hivi ni kweli mtu kuwa na uhusiano na beki tatu ni aibu kwa familia na nje ya familia? nimeshuhudia hili mahali.
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Watu wengi wanaliwa sana maana wanataka kutajirika kwa pesa ndogo, yani MTU anaweka 500/ odds 300 hapo probability ya kushinda ni ndogo sana tajiri, Weka team zako chache tia mzigo wa kutosha...
1 Reactions
8 Replies
940 Views
Hi Usiku unapendelea kufanya nini?
6 Reactions
37 Replies
981 Views
Ndugu zangu kama itawapendeza leo tusalimiane kwa lugha za makabila yetu. Mimi ni mnyiramba natoka kule singidani Inye mbii kate.
6 Reactions
68 Replies
4K Views
Wananzengo hamjambo? Humu kuna watu huwa wanakula panya, mbwa, punda, mende, mijusi, kenge na viumbe wengine wa ajabu ajabu. Ebu tuambieni, mnavyokuwa mnawala huwa mnahisi ladha gani...
0 Reactions
0 Replies
147 Views
Nawasalimu wote , hivi karibuni nitakuja na jambo langu .
3 Reactions
19 Replies
395 Views
Kuna dogo mmoja alikuwa anatoka Mkoa anakuja Dar Es Salaam Sasa akamwambia konda. Dogo: Konda tukifika Chalinze uniambie. Konda: Sawa. Gari likatembeaaaa sasa konda akasahau kumwambia dogo...
16 Reactions
35 Replies
854 Views
Uzi huu ni kwa wale ambao hatujawahi pigwa ban toka tujiunge na JF tukutane hapa.
9 Reactions
55 Replies
717 Views
Back
Top Bottom