JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Leo nataka nione watu wananifahamu au kwenye akili zao wanahisi mimi nipo vipi Sasa basi leo nataka nitoe kitita cha sh laki 5 kwa ambaye atapatia kuhusu muonekano wangu ,haya sasa twende kazi...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Wakuu lengo la kuanzisha uzi huu ni kwaajili ya kuwachana member wa jamii forum,si kwa ubaya tu bali hata kwa mazuri,,, najua hili jukwaa ni chuo tosha,kwani tunakutana watu kaliba...
30 Reactions
144 Replies
5K Views
Siku zote hapa duniani watu wakiwa hai huwa hawapewi sifa zao stahiki mpaka pale wanapofariki ndio umuhimu wao unapoonekana Sasa tuje kwenye mada kuu,hivi siku nikifariki utanikumbuka kwa lipi...
2 Reactions
82 Replies
6K Views
Namtafuta mtu anaeitwa mshana jr ndugu yangu nakutafuta naomba tuwasiliane
5 Reactions
31 Replies
1K Views
Tunaweza kudhani ni coincidence lakini kuna vitu vilo kiroho zaidi Mtandao wa Tigo ulipata umaarufu hasi baada ya kubadili jina lake la zamani la Buzz lililotoka kubadilisha na Mobitel Tigo...
10 Reactions
47 Replies
1K Views
Hivi pale G7 ni Tabata au malamba wakuu. Nilipotea njia pale asee vijana wanatafuta hela Kwa shida alafu zinaenda kuisha kizembe. Nimeagiza Redbull wanauza elfu 6. Mana Sasa hivi sio mnywaji wa...
2 Reactions
6 Replies
348 Views
  • Closed
Na unapojamba unapata raha au unapata nafuu fulani? Na kati ya mwanaume na mwanamke,yupi hujamba mara nyingi zaidi?
5 Reactions
51 Replies
954 Views
Broo Jinsi Unavyoiona Simu yako Ikiwa Haina Bundle Ndio jinsi Mwanamke Wako Anakuona Ukiwa Huna Pesa...
3 Reactions
2 Replies
164 Views
Ukiogeshwa unatakata kuliko uogavyo mwenyewe 😀 kama hujawahi kuogeshwa siku ujaribu rafiki
2 Reactions
8 Replies
209 Views
Kila mtu ana lengo la kujenga au kuanzisha makazi sehemu zenye utulivu, amani na usalama vilevile kwenye hewa na upepo mwanana. Mara nyingi hizi ni sehemu ambazo wanaishi madon au watu wenye...
9 Reactions
242 Replies
29K Views
Dah...Leo nimegonga mvua 70 na ushee...Nilipotoka ni mbali sana..niliyoyafanya ni machache sana ...ninapokwenda ni karibu lakini nina mengi ya kufanya...muda hautoshi...kichwa kinapata...
5 Reactions
57 Replies
4K Views
Sijawahi badilisha hio ni kama id yangu huku porini kama member utanitambua kwa hivo. Je wewe unapandelea ringtone gani au mlio gani kwenye simu yako? I love weeds!
3 Reactions
56 Replies
989 Views
Cheusimangala ndio namuulizia,nilimuona kabisa cheusii,sijui uko wapi Cheusi. Mikasa ya siku ile niulize nikueleze unajua tulitoka wapi
1 Reactions
2 Replies
175 Views
Mashost wikend leo wapi jamani?
0 Reactions
121 Replies
6K Views
Mtoto wa nyoka ni nyoka ndo maneno ya binadamu. Sometimes Bora rafiki kuliko ndugu wa damu. Ubaya ukizidi sana unakosa hata tabasamu. Dar es salaam kutesa kwa zamu. Yaani Bado siamini kama...
3 Reactions
18 Replies
369 Views
Unaikunbuka simu yako ya kwanza kabisa!? Ilikua ya aina gani?
1 Reactions
23 Replies
529 Views
Leo nimeamka nikajiuliza hili swali. Maisha hayako fair kabisa, kuna mwingine buku 5 tu tayari analewa, na kabla ya kuzuia viroba buku tu ilitosha kufanya mtu apate starehe hio. Kwa upande wangu...
1 Reactions
42 Replies
644 Views
Afadhali hawa Tigo wamebadilisha hili lililokuwa lisha kuwa na maana ya kishenzi Sema yaaaas Maana sisi mwenye mishe zetu ilikuwa inatukata kweli "Naomba Tigo? "unatigoo hapo? "Tigo unatoa...
3 Reactions
26 Replies
811 Views
Bila shaka maison club ndo club ghali nchini Tz na yenye hadhi ya five star yani nyota5. Hii night club ipo masaki mtaa wa sea cliff. Maison huwez ingia kizembe lazma ufanye booking kama guest...
16 Reactions
219 Replies
23K Views
The term "Yass" (or "Yaaas") is a slang expression used to convey excitement, approval, or strong agreement. It is often drawn out to emphasize enthusiasm, such as "Yaaas, queen!" Origin: The...
0 Reactions
12 Replies
733 Views
Back
Top Bottom