Wakuu nimekaa nikakumbuka miaka hiyo kipindi cha SITOSAHAU cha RFA. Ilikuwa ikifika hiyo mida ni kukaa karibu na redio mfano wakati wa simulizi ya Gamboshi 😂 asee?
Wahenga kipindi kipi...
Mhhh, watu wanapeana ushirikiano jamani. Inaonekana huu mchezo unapendwa na jinsia zote, sasa ni kuwatenganisha tu kama talebani.
====
Pia soma: Wanawake na tabia ya kutusogezea makalio...
Kichwa habari kiko clear kabisa kuna watu wametumia lugha chafu sana ndani ya mitandao na wengi tu kupata ban...
Ni nani hao ambao waliongoza kwa lugha chafu zisizio na staha na kuharibu mada ya...
Aisee maisha marahisi sana.
Kuna demu kanisumbua weee mpaka basi.
Ila kuna siku alipoona App ya JamiiForums tu kwenye simu yangu, aah mwenyewe kalainika.
Akaniona bonge la mtu
Akaniambia kumbe...
Wadau kuna members humu ndani wana fix sana.... sijapata kuona.. yaani wanakufunga kamba mpaka mtu unajishtukia kabisa. huwa sometime utawashtukia namna wanavyojichanganya. kuna jamaa kaweka post...
Wakuu
Yaani salamu za shikamoo zimekuwa nyingi sana, wakati nikijiangalia kwenye kioo bado najiona Handsome.
Ni mnyamwezi fulani hv najipenda muda wote nanukia, kipato si haba. Nina O moja...
1.Huyu jamaa ni member mwenye kisebengo kuliko wote humu Jf
2.mada zake ni za kitoto hazina mantinki
3. Anapenda sifa kama harmorapa na nahisi ni ndugu take
Ushauri nirkuwa naomba kwa wale...
Happy born day Bro HR 666 Mungu akujalie maisha marefu wewe na shemu langu Shunie
[emoji148] [emoji145] [emoji149] hii zawadi yako mkuu [emoji154] na hii suti ni kwa ajili ya harusi yenu wewe na...
Haya maisha ya kukaa hostel yamenishinda kwa kweli ,haiwezekani haipiti siku tatu bila kupigwa exile
Kila siku mimi nimekuwa mtu wa kulala nje na kuliwa na mbu tu nimechoka kwa kweli enough is...
Hivi siku ukapata bahati ya kuonana na mwana JF machachali anayejulikana kama HR 666 utamwambia kitu gani ambacho ulikuwa unashindwa kumwambia humu jukwaani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.