Vipi wakuu, mimi hapa napitia contact list yangu Kuna baadhi ya contacts sizijui kabisa na sikumbuki nilizipata vipi na wapi.
Kuna mmoja nimekuta nimemsave "muuza madela" ila sielewi chochote.
Hiki kigari kidogo cha joto kisichokuwa hata na airbag wala accident proof measures za msingi kama automatic turn signal na object detectors CHA AJABU huku nyuma kameandikwa IST na natamani sio...
Hapa ni baadhi ya matendo ya mtu mshamba
Hapa haihitaji elimu kubwa kujua kama huyu mtu ni mpori mpori
1. Kuvaa Yebo na soksi
Hapa usiulize sana
2. Mtu asiyetaka kuongeza lugha ya asili hata...
Habari wakuu,
Siku mbili nyuma nilikua safarini kutoka mkoa x kuja mkoa y. Safari yangu niliianza majira ya saa 1 jioni kwa usafiri wa bus.
Sasa kuna mtu tena mmama nilikua nimekaa nae siti moja...
Kula vizuri hasa mbogamboga na matunda ,kunywa maji ya kutosha ,lala inavyotakiwa , kama una hofu au mawazo jitahidi kuviepuka
ukizingatia hivi huondoa ngozi kusinyaaa na kuifanya iwe na nuru
Ila...
Habari za muda huu Wana JF!
Kuna hali ya mabadiliko imenitokea kwa kipindi cha miezi mitatu sasa sijanywa pombe.
Nikiiona pombe, naikinai na najisikia kutapika. Sikuwa na wazo la kuacha pombe...
Kama wewe mtaalam wa chocho na machimbo ya Kigoma. Nipe hizi code
Wapi napata
1.Supu nzuri ya samakiiii mkubwaaa😋
2.Kuku chomaaa wa kueleweka😋
3.Kitimoto maridadi kabisa😋
4.Ugali wa lowa😋
Unaambiwa analia sana huko Serengeti anataka kuja Yanga, anadai Mbappe na Halland pia wanaomba nafasi jangwani.
Hatahivyo uchambuzi wa kihasibu unasema kuwachukua ni hasara kwani wataishia benchi...
Habarini Wana Dodoma, nimeingia hapa jijini Leo jioni toka Mbeya,mwenye kujua location ambayo naweza kupata chakula Cha kitofauti kabisa mathalani ugali wa mtama au uwele na nyama ya punda...
Pombe ni tamu sana lakini ina balaa lakeee!
Kama mimi nikiwa na stress nikilewa pombe nitaliaaa machozi hayoo mpaka mashavuni.
Yani mtu akinisemesha naangua kilio balaaa ila pombe...
Kuanzia sasa hakuna tena hela ya kutolea unapo mtumia mwanamke hela,akitaka hela kamili afuate geto
Kuna vifungu viwili vya uhaini vimeongezwa,ila nakumbuka kimoja tu,mwanao akitaka kuazima geto...
Eti mala yako ya mwisho wewe kuokota pesa lini na ulikota shingapi?
Na ushawai oupoteza pesa kiasi gani mpaka ukajilaumu sana
Mimi mara ya mwisho kuotoka pesa ilikuwa juzi shilingi 100 niliokota...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.