Wakuu !
JamiiForums kwa upande wangu hasa mwaka huu 2024 imekuwa ni msaada mkubwa sana katika mambo yangu mbalimbali.
Ninaelekea kutimiza miaka 14 ndani ya huu mtandao na ninaweza kusema mwaka...
Imeripotiwa kuwa wanachama mbalimbali ambao Dr.JF amewadaiagnoz na ugonjwa wa adikshen ya JF walikuwa katika wakati mgumu wikiend hii wakitafuta shughuli mbadala nje ya JF, pale ambapo JF haikuwa...
Je una swali?
Je una changamoto yoyote?
Je kuna ufafanuzi unahitaji?
Karibu hapa wakongwe wakuhudumie.. Si kila kitu tuwasumbue moderators mengine tunaweza kusaidiana hapa hapa
Wakuu mimi ni mchunguzi sana. Nimefanya utafiti na kumfatilia kwenye mwandiko wake na vile anavyocomment kwenye post za wanajf mbalimbali hapa jukwaani na nikapata uthibitisho pasi na shaka kwamba...
Kuna vijimisemo vifupi vimeibuka huku kwenye mitandao kwa sasa, yaani ni burudani tupu.
Ukivisoma mwisho lazima ubaki mdomo wazi au ucheke, baadhi ya niliyokutana nayo naweka hapa, pia karibuni...
Hili jini sijui kwanini lisipande kwa viongozi wetu wanapokuwa kwenye mikutano ya kimataifa ili kuwasaidia kuongea na kusoma mikataba ya kimataifa inayoandikwa kwa Kiingereza hivyo wanasaini bila...
Kheri ya Mwaka Mpya Wakuu!
Kama mjuavyo dunia inabadilika. Na Uwepo wa JF ni moja ya vithibitisho hivyo kuwa Dunia ya sasa imebadilika.
Hatujuani kutokana na wengi kutumia Anonymous ID lakini...
Kwa nini hataji shughuli zingine, kama kuendesha shughuli za kiwanda, kusimamia biashara na zinginezo?
Au kilimo na ufugaji cha uzeeni kinalipa zaidi kuliko kile ambacho utawekeza nguvu ujanani...
Source: 1st openly gay Episcopal bishop to divorce husband - US news
NEW YORK (AP) Β The first openly gay Episcopal bishop, who became a symbol for gay rights far beyond the church while...
1. Nina elimu ya Masters.
2. Nimetembea ulaya na USA mostly italy na UK.
3. Nina watoto 3.
4. Mke mzuri.
5. Mpare kwa kabila.
6. Naipenda Israel na Urusi.
7. Najua kutumia silaha za moto...
Habari wanajamvi!
Kondomu si bidhaa ngeni kwa mwanaume mchezaji wa game za 6 kwa 6 anaejali afya yake.
Sasa linapokuja suala la kwenda kununua ni mambo gani huyazingatia?
Mimi yangu ni...
Last time huyu member alikua anasema ana changamoto za kiafya, tumezoea hua anakua active sana ila sa ivi naona kama account yake inakua dormant... Huyu member Yuko wapi
Analyse