miss chagga, Evelyn Salt, Heaven Sent na Madam B hawa wadada walinifanya nicreate accnt JF ili nije kupambana nao huko mnakokuita PM ila nilivyojiunga tu nao wakapotea humu
Nanii alikufanya...
Kutokana na uzi wa mkuu Nikifa MkeWangu Asiolewe nimevutiwa kuanzisha hii maada ili watu wengine wajifunze kwenye hii maada kua watu wanapambana usiku na mchana,
Upambanaji upo na watu...
Hii inafikirisha sana na inaonesha ni kwa namna gani wanawake wengi ni wabinafsi.
Mwanaume akipata pesa atakachofikiria kuoa na kupata watoto na kuendeleza familia iwe bora zaidi .
Ila sasa kwa...
Wakuu heshima yenu.
Nikiwa kama mtumiaji wa hicho kinywaji,nina malalamiko yangu kwa wahusika.
Toka siku tatu au nne zilizopita kumekua na uhaba mkubwa wa safari lager chupa kubwa hapa Dar...
Habarin
Baada ya kusumbuliwa na stress kidogo na haya maisha nika ona labda nijaribu bangi maan mimi sio mnywaji kabisa wala mvutaji hapa mtaan kuna ka chimbo nakajua kuna jamaa hizi ndo kazi zao...
Habari zenu wana JF.
Napenda kuchukua wasaa huu Kumshukuru Mungu kwa ajili ya rafiki yangu, ,mshauri wangu na ndugu yangu, Dinazarde,kwani siku ya leo miaka kadhaa nyuma alizaliwa!
Mungu...
Wanajamvi nipo Tabora Muda huu ,ndio mara yangu ya kwanza ,kwa wenyeji wa huku nipe location ya viwanja vilivyochangamka vyenye watoto wakali ,Sina usingizi kabisa
Ijalishi ni msikitini, kanisani, kwa profesa janabi, serikalini, kazini, mitaani na n.k
Ila wanywa pombe ni watu ambao wanaumoja kwenye mambo yao kuliko hawa wasiotumia.
Leo jioni mtu anajigamba...
Kuna members wengi wameshawahi niona mtaani sema hawajui kama ni mimi.
Kama unaishi Dar na umeshawahi kukutana na mkaka mtanashati sana handsome, tall, great manly features hadi ukashikwa na...
Kwanini Sasa hivi Mashangazi wanawapenda vijana Siri ni nini hasa?
Moja kwa moja kwenye mada
Imekuwa trend siku hizi kusikia mahusiano ya mwanamke mkubwa mnene hivi mwenye nyama nyingi aka...
Nilikuwa KING MSWATI IV enzi zangu, naomba sana kama kuna aliye na mwanangu anipe sasa. Nimejadiliana na mke wangu Lady doctor tumeona tuko tayari kuanzisha ALCC. (Arushaone-Lady doctor Children...
Kwakweli huwa nacheka sana maana thread za huku ndani inaonekana kila mtu mambo safi, anadrive, ananyumba, ofisi safi, anaenda nje mara kwa mara, je sisi tuliopanga na tuna baiskeli tu
Tuendelee...
Nimejifungia zangu ndani natafuna karanga za maganda hapa, nikimaliza napata supu yangu ya sato mzima aliyewekewa viungo vya kila aina.
Baada ya hapo, nitapiga 'wine' yangu taratiibu; sijajua...
Habari wakuu,
Naomba kujuzwa kwa mtu aliye Mbezi Beach shule anafikaje Chanika mwisho kwa usafiri wa daladala .
Option ya Bolt inaleta mpunga mrefu kidogo 52k
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.