Usiombe apate namba ako alafu upokee simu yake au ujibu hata txt yake moja tu.
Ndani ya dakika 5 unajuta kwa nini aliumbwa mfupi.
Samahani kwa wale wafupi ambao mpo humu.
JIREKEBISHENI
Kwa wanawake akiniwekea hivyo najua hana mwanaume mmoja yaani ana mambo mengi anafanya huko kwa simu yake na hataki abambwe kama yeye ni malaya,
Kwa wanaume akiweka hivyo red flag ya kwanza ni...
Mamboooooz
Naimani nyoote mu wazima humu ndani
Nimejaribu kuvumilia siku nyingiiii lkn imeniwia vigumu kutatua swala hili.
kwanza awali ya yote niombe tu msamaha kwa Nifah kwa kujaribu kuingia...
Mambozi
Jaman kitambo kiaina ila nawashirikisha jambo moja.
Nilimfatilia sana the bold miezi/ miaka hyo kabla hajaanza kupigwa ni bani ya kudedi kiumbe humu jamvini. Baadae akapotea na mkewe...
Namshukuru Mungu kwa kweli, tarehe kama ya leo miaka arobaini iliyopita, alizaliwa kipenzi, rafiki, dada, mdogo wangu mzuri mzuri jamani na ndugu yangu kipenzi Shunie!!
Mungu azidi kukuinua...
Halafu anataka mimi nibaki ndani namsubiri yeye mpaka umeme wake uwake.
Vijana kuleni tu hizo viagra ujanani. Fainali uzeeni.
Pesa yako nakula halafu wewe unakula kwa macho coz huna umeme wa...
Natamani kujua siri ya hiko kilevi.
Coz nipo na chupa ya pili sasa na najisikia kuagiza inayofuata
Nzuri ladha yake ukichanganya na coke
Ingawa mie sio dada poa.
Nina BIASHARA zangu TOFAUTI
Ama kweli kujaribu siyo kushindwa.
Jana ndugu zangu luku ilikata na kwa bahati pekee nikaamua nijaribu kuingiza namba zangu Nida na nilistaajabu umeme ukawaka!
Tusiogope kujaribu.
Wakuu leo ni siku maalumu, nataka niuanze mwaka kwa mambo mapya! Hapa nipo ndani ya treni nakuja Dar! Na muda mfupi treni ndiyo imeanza safari,
Sina sehemu ya kuaminika ya kufikia, kwahiyo kama...
Najua mambo kadhaa ikiwemo ;
1. Wanapenda amani na utulivu.
2.Si wepesi wa kuchukia, ila ukiwatibua ni hatari zaidi ya simba.
3.Wanapenda sana kunyanduana.
4.Wanafanya kazi kwa bidii sanaa...
Habari wakuu,
Poleni kwa majukumu ya hapa na pale.
Kuna jambo nilianza kuliona tangu mwaka 2010 na limekuwa likiendelea siku hadi siku, miaka hadi miaka. Nimetokea kupendwa sana na watu wenye...
Vip wakuu ushawai kutana na gasia ya kuazimwa chaja? Na aliezima hayupo? Ila ni kero Balaa. Hivi adi chaja? Unakuta mtu hana kabisa chaja na anamilik tambo la 300000+
Hii ni thread maalumu kabisa kwa wale ambao wako single na wanataka better half, pole pole mjuane. Huwezi jua umepangiwa utakutana nae vipi
Walio kwenye relationship nyie tulieni acheni wenzenu...
Kampuni yangu pendwa ni Allys Sport Bus ambayo kwasasa inaitwa Ally Star Bus [emoji93] au unaweza iita (Chungwa [emoji521]). Hii kampuni inajali sana muda. Yaani hawana gari mzaha hata moja, zote...
Wana Nsumba mpo?
Nilikuwa Nsumba Sec toka 1981-1984!
It was nice experience and great school ever attended!Walimu wetu wakina Michapo,Bia ,Kikuli na wengineo.Mshikaji ,Mdundo etc.Bila kumsahau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.