LGBTQ si mngebuni bendera yenu unique kuliko kutumia bendera yenye rangi za upinde wa mvua ambao hausiani na mambo yenu.
Yani sasa hivi hata upinde wa mvua ukitokezea ukiuangalia tu unajishangaa...
Wanywa bia huu ushamba wa kumwaga bia chini ili kuangalia povu kisha kusema bia imeharibika au nzima nani aliwadanganya?
Huwa nawaona mnavyobishana na wahudumu kuhusu bia kama ni nzima kwa...
No politics here, straight to the principles:
1. Punyeto bila hisia hainogi.
Lazima uvute hisia za demu mkali unaye mzimikia, labda uliisoma nae O level, Chuo.
Wakat niko O level (Tabora Boys)...
Picha linaanza bhana Baada ya boss KUMFOKEA manager
Manager naye Anaona isiwe kinyonge anashuka kwa MA-operator anaowasimamia anaanza KUMFOKEA operator mmoja wapo!
Operator anafanya kazi huku...
Anaitwa Nguruwe poli ama NGIRI
Ni mnyama anae trend sana kwenye Kila Reels ya social media.
Na anauwezo wakukimbia haijalishi adui ametokezea wapi, na anauwezo wakumtisha yoyote adui awe simba...
Naomba msaada wenu wana JF Huyu kijana sijui hili swali kilitoa wapi, ameniuliza mwalimu aliingia darasani akasema "Kama jana ingekuwa kesho, basi leo ingekuwa ni Jumamosi" Mwalimu alizungumza...
1. Kula ugali kwenye sufuria. Badala ya kuweka kwenye sahani usipakue kula palepale dona lako likiwa la moto.
2. Kunywa maji kwenye glass. Unaposikia kiu ukanunua maji yako ebu usinywe kwenye...
watu wengi wamekuwa wakiishi kwa mazoea katika nyumba zao hadi wanaposikua kuna mgeni ndio wanaanza kupangilia vitu na kufanya usafi.
Hii hali kwako ikoje?
Uko tayari muda wowote?
Tupe uzoefu wako.
Umasikini na Maradhi angalau japo hali hairidhishi ila Ujinga bado sanaaaaa, sijui huu ufaulu unaopanda kila siku unapanda vilele vya ubwege au lah..
Si mara zote wanaiba kura ila hii nchi ina %...
Yaani sijui hawa watoto maisha yako huko mbele yatakuwaje isee sikuendeleea nikamwambia akamwambie mama yake njaa inaniuma ila nimebaki na stress kila nikimwangalia na jamii hii ilivyo kazi ipo...
BIla shaka wote mko vyema
Hebu dondosha menu yako ya kifungua kinywa ambayo unaikubali sana.
Kuanzia breakfast za kishua mpaka zile za watu kawaida
Me: Chapati mayai za kumimina>>> kifungua...
Wakati kazi inaendelea kule kwingine ni people's power
Tushuke kwenye mada Nini kibaya kiliwahi kutokea Ile siku ulipomuazimisha au ulipoazimishwa mchuma/mkoko/dinga na Rafiki yako au jamaa yako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.