Naamini kuna vitu vidogo vidogo tunagundua kwenye maisha ambavyo vinatushangaza lakini inakuwa ngumu kupata majibu ya jinsi vilivyo....
Nimefungua hii thread kama njia ya kupata majibu.
Naona...
Habari.
Tukikupa YOUTONG ya siti 60.
Zitabaki siti ngapi tukiwaweka ,wanawake uliowahi kutembea nao.
Mimi zitabaki zile tano za nyuma.
Sent from my SO-01L using JamiiForums mobile app
Habari za Majukumu wakuu. Ni matumaini yangu wote mu wazima wa afya.
Ningeomba niende moja kwa moja kwenye hii mada na nitaielezea kwa ufupi.
Ni kisa nilichokutana nacho katika chombezo la hapa...
Awali, Toka 2014 Mimi Ni mwendo wa nyeto tu. Sina time na kuhonga mademu. (napiga nyeto ya sabuni, mafuta na Ile ya nyuki).
Pili, Pesa niliyokuwa nihonge nimejazia mtaji wa biashara. Maduka...
Hello!
Kitambaa gani cha sofa kizuri ambacho rangi ya ung'avu inadumu kwa muda mrefu.
Kitanda gani kizuri kati ya kile chenye uvungu na kisicho na uvungu (kitanda cha box)?
Nakumbuka enzi hizo hicho kitabu kilikua Cha kujifunza kusoma
Sadiki na chitemo[emoji4]
Darasa la tatu shairi la" karudi baba mmoja" lilikua matata Sana.
Tulikata dumu na kutengeneza...
Habari zenu wana jf..
Ningependa kushare na ninyi mambo machache kabisa ya kuangalia kwa kijana uliye maliza chuo,unaye anza maisha na uliyeko chuoni pia
1Aina ya kazi
Usichague kazi ya kufanya...
Kwa niliyokutana nayo kalaga baho niseme tu safari ya maisha ni ndefu sna. Mikasa, visa na vibweka kwa akili za watanzania ndo mahala pake. Umaskini nao ndo umefika
Juzi wazee nilishikwa...
Kuna migahawa siku hizi wanauza chapati kubwa sana, zile chapati mbili au tatu za zamani au mtaani wameziunganisha wakafanya kama chapati moja, sasa usipojua mapema ukaagiza chapati mbili linakuja...
Kuna wakati huwa nashangaa sana wanaume wanapo lala na njaa kisa eti mama nanii hayupo...!!
Kwa hili nampongeza sana mama yangu kwa malezi aliyo nilelea, na hasa wakati ule nilikuwa nadhani...
Unamkumbuka yule mwalimu uliyekuwa unamcheka kipindi uko shule? Yule mwalimu ambaye kila siku anavaa shati lilelile na viatu vyake vimeisha upande??
Yule mwalimu ndio wewe siku hizi 😂
Mwezi Novemba mwaka huu nilikuwa na safari kadhaa za kwenda mkoani Mtwara kwa pilika zangu binafsi.
Mara nyingi nilitumia mabasi ya usiku kutokea Mbagara rangi 3.
Cha ajabu na kushangaza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.