Ndugu zetu wa mikoani mnaomba Sana hela
Nauliza je kilimo hakilipi? Au imekuaje tena? Njooni DSM mpambme na nyie mmiliki hela. Maana chakupewa hakishibishi.
Habari wakuu naomba msaada wenu kuhusu safari za train kutoka mbeya kwenda Dar es Salaa.
Ni lini inatoka mbeya kwenda DSM. Zote zikiwemo express na ordinary. Mbeya linaondoka siku gani?
Msaada...
Maisha yanaenda kasi sana, yaani sijapata wishes kutoka kwa mtu yeyote hata Wazazi wangu wenyewe naona wameisahau, marafiki na ndugu zangu pia:rolleyes: zaidi nimepata kutoka mitandao ya simu ya...
Hawa jamaa waliomrekodi huyu mtoto ingekuwa wanalipwa, wamepiga bingo.
Mtoto anaongea kwa lafidhi yake nafikiri kibena au kihehe kwafudhi ya kufurahisha na kuchekesha.
Na hapo alipo mtoto...
Ukitanua paja ni dalili ya kutaka kujamba utakamatwa kwa kosa la kutaka kujamba ili kukuzuia usifanye kosa ilo utakamatwa na kuambiwa ulikamatwa kwa kosa la kuonesha viashiria vya kutaka...
HATA AKISEMA ANALIPA KODI YEYE, USILALE KWENYE GHETO LAKE......
Hakuna mwanaume ambae hajui hii kanuni, Ila kukumbushana sio dhambi ....
Nakumbuka kuna manzi nilikuwa na mfukuzia tokea tuko...
Mwezi uliopita nilikuwa nasafiri kutoka Jijini Arusha kuelekea Jijini Dar Es salaam, kwa usafiri wa basi moja maarufu (jina kapuni).
Niliiingia ndani ya basi na kwenda kuketi kwenye siti yangu...
Husika na kichwa hapo juu! Kwa wenyeji wa Mbagala Dare es salaam.
Naomba msaada wa kupata huduma tajwa hapo juu ya kulala kwa gharama ya chini ya 100,000 kwa siku, isizidi 100,000/= location...
Habari wakuuu,
Naweza kusema mimi sio mkongwe sana, nimejiunga hapa jukwaani mwaka 2018, tokea nimejiunga apa members niliowaexperience kusoma mada na michango yao mingi ni wafuatao...
Leo nimepata uvivu wa kupika lunch. So kwa kuwa muda umekwenda sana nimeona vyema niandae chakula cha haraka nachokipenda sana kisha niwakaribishe wanaJF wote tuje tushirikiane chakula cha mchana...
Hakuna jambo zuri na kubwa maishani upate mwanaume anayekupenda na siyo kukupenda tu, yaani akupende haswa.[emoji7][emoji7]
Mungu wangu, utake nini kwa Dunia hii mwanamke usipewe[emoji1][emoji1]...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.