Kuna maneno ya msahafu yanasema .. Mpe kilevi mwenye tabu ANYWE ALEWE asahau shida zake!
Maisha yana changamoto na stress nyingi sana.. Ukiziendekeza utakufa uache wengine wanaendelea kufaidi...
Ni kabinamu changu ila undugu wa mbali kidogo wa ma bibi na mabibi huko alafu ni kapeace kishenzi kametoka Katavi huko hakajawahi kufika Dar hata siku moja ila kamewahi kwenda Arusha sasa juzi...
Katika hali isiyo ya kawaida kwenye tasnia ya bongo na hasa bongoflava ambayo ilionekana kuchukua mashabiki wengi wa nchi hii na nchi jirani.
Mwanamuziki wa Wasafi Media Zuchu ambaye siku kadhaa...
Aisee Mimi ni mkazi wa Arusha siku zote nilijua Arusha ndio Kuna bridi kuliko mikoa mingine Tanzania😂😂😂 Uwiii sintakaa nisahau siku nilimpeleka Mwanangu kureport Form Five Makambako Secondary...
Wanaidawa kuwa na upendo, huwa maarufu sana, ni watu watulivu, wenye amani na pia wanasifika kuwa na uvumilivu
Inadaiwa Watu hawa huwa na mtazamo chanya wa mambo na hivyo huwafanya kuwa werevu na...
Wasalam ndugu wana Jf,
Aise ndugu yenu nina shida, Kuna mtu namtafuta yapata miezi tisa sasa, PM yake ipo locked na pia hajawahi post kitu chochote ndani ya muda huu.
Huyo ni Madam S, tafadhali...
Kuoa kwenye Familia Tajiri ni taabu sana, mkikosana siku ya kesi uwanja mzima unajaa magari ya nyumbani kwao, alafu ukute kuna ndugu zake wengine wapo Nje ya nchi wanafatilia kesi Online...
Nipo bongoland nchi ya Nyerere mkoa wa Morogoro palipojaliwa miradi miwili mikubwa reli ya SGR na Nyerere dam only kama vitakamilika nipo msamvu kijiwe kipya naona kinaitwa Starpark Msamvu ila...
Ukipita mitaani utakuta wanamjadili P Didy.
Sasa nyie waswahili mnawezaje kufahamu mambo ya marekani huku kiingereza hamjui .
Je, mmesoma makala ngapi?
Je, mnaweza hata kusikiliza interview ya...
Yaani unakuta PS wa boss ni wa kiume alafu anakuwa na kiherehere, sehemu hausiki teyari kashaleta mdomo yaani kama na yeye ni boss, yaani anavaa vyeo vya boss nae anakuwa boss.
Mfano huyu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.