Waislam: Salamlykum ~Wakirsito:Bwana Yesu asifiwe
Wanajukwaa Ninachemsha bongo hapa nataka tujadiri kwa pamoja mpaka tupate jibu
swali:(nineno gani la kiingeleza lenye herufi 26 lakini lina...
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 nikiwa likizo kuna lori la kampuni ya bia lilidondoka mtaani kwetu, kufumba na kufumbua hakuna kreti ya bia hata moja, mtaa nzima kila mtu anelewa, tukapata taarifa...
Ulishawahi pitia kipindi kigumu hadi ukashindwa kutoa rambirambi za misiba mfano labda una group kama vile watu mliohitimu nao chuo labda itokee msiba mmoja wenu amefariki, unatolewa mkeka wa...
Habari wanajukwaa mnaendeleaje na kujenga taifa?
Kuna uzi mmoja nimesoma asubuhi hii nimecheka mno kuhusu search histories za watu kwenye simu zao. Kuna histories za mambo ya ajabu ambayo mtu...
Karibu...
1. MDOMO
Jifunze ku-control mdomo wako, mdomo unaharibu mdomo unatengeneza, unatakiwa ujue kutofautisha kati ya muda sahihi wa kuongea na muda wa kunyamaza na kusikiliza wengine...
Huyu jamaa ukimwangalia toka kwenye video ya ''hate me now'' yuko na nas escoba hadi sasa na album yake ''last train to paris'' yuko vilevile,ki-vimpire vimpire hellena angemwuliza,'for how long...
mdada kama una bwana ni muendesha magari yaani fuso zinazo toka nje ya nchi na kila akienda kupeleka mzigo nje na wewe unaenda kujifanya unapenda sana wakati uho mwezio jicho lake kwako ni kwa...
Kila mtu ana namna tofauti ya kusherehekea birthday yake
1. Unapiga magoti na kumshukru Mungu
2. Unaalika jamaa na marafiki katika hafla
3. Unaenda bar kupata kinywaji
4 keki laZima ihusike
5...
Mods hapa ni chitchat na sio jukwaa la siasa. Huu uzi ni wa kuwatania vijana wetu wanaoogopa kulala rumande wakati kuna watu wanalala rumande zaidi ya mara 10 kwa mwaka na hawakondi wala hawaogopi...
Habari Wana jamvi....
Naamini jukwaa hili limebeba watu wengi sana , Leo napenda tushare taarifa na uzoefu mbali mbali hasa kwa wale wakatoliki wenzangu tuliosoma shule za seminary, binafsi...
Habarini wakuu
I hope mko gud.
Moja kwa moja kwenye mada kumekua na battle nyingi hapa jf kuhusu uzuri na ubaya wa badhaa ya majiji.nini kiko moshi na nini Kiko ARUSHA ambacho kinakuinterest kwa...
LITTLE GHANAIAN PLAYER [TWI] - YouTube
Umri wake ni mdogo lakini anakipaji cha kuchukuwa mwamke yeyote yule na mali popote pale na kwa wakati wowote ule.
Wananzengo vipi?
Leo tunaenda kula bata wapi?
Wanasema kazi na dawa; ukiwa bize sana ni sawa na kutumia mikono yako kusukuma mlima ili uweze kuhama.
Twende kazi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.