Uzi huu utakuwa ni maalum kwa waTanzania wote duniani kote kusheherekea ushindi wa Kombe la dunia la mpira wa miguu linaloandaliwa na FIFA kila baada ya miaka mi4.
Hata kama ni mwaka 2500 au...
Ww kama mwanamke mwenye akili timamu usiwahi kunyanyua mkono wako kumpiga mwanamke mwenzio au kumletea Fujo yoyote kisa anatembea na bwana ako...mwanamke anatongozwa..na Kwa madai ya kwamba...
Mambo vip wana Jamiiforums, kama kichwa kinavyojieleza, kwakweli ninaomba ku share nanyi mambo hayo sisi vijana tumekuwa tunazongwa na hayo mambo kiasi kwamba tunadhani tumeimiliki dunia.
Binafsi...
Kuna muda kama huu nakuwa nawashwa kabisa kuanzisha uzi JF lakini nakuwa sina la maana sana la kuandika kwenye huo uzi.
Hebu wataalamu wa kuanzisha nyuzi nipeni idea hapa, nianzishe uzi wa...
😂😂😂😂 Wakuu majuzi nilienda kumchek anko bush flani hivi one time.
Nilifika mida ya jioni, nikalala kesho yake asubuhi nikaamka ile kutoka nje nikaona msululu wa ma pikipiki na baiskeli watu...
Kisa cha jamaa yangu mmoja aliwahi kunihadithia miaka kadhaa iliyopita,
Katika pilika pilika za maisha alikuwa akiendesha baiskeli aina ya Phoenix akawa amepita njia moja hivi ambayo ina...
Ama kweli hawa wezi wanapaswa kuuawa aisee sio.poa yaani hawa washenzi wanarudishana nyuma kabisa yaani milioni 10 imeenda hivi hivi pale stendi ya mabasi Mbezi kwa Magufuli yaani hapa kichwa...
Kutokana na maisha yanavyoenda nimejikuta nimenunua router ya unlimited ya company flani. Hii inanisaidia kupunguza gharama pale nyumbani kwa watu wote. Pia imeleta furaha ndani ya nyumba.
NI...
Japo umechelewa kusema ila sio mbaya hata sasa hivi[emoji4]. Katika watu ninao shukuru kuwafahamu ni wewe, rafiki yangu kipenzi. Nakuchuniaga ila huninunii hata[emoji847] nashukuru kwa hilo...
Hivi inakuaje jitu umri umeenda halina pesa linahangaika tu Kila siku aisee hua nacheka sana yaani jitu hata pesa ya kumhudumia kifamilia chake halina hivi mwanaume kama huyu si lofa maana mtoto...
TAHADHARI :Kama ujawahi kufika Ulaya usicomment kwenye huu uzi. WAKUU nipo najianda kusaka full funded Scholarship Nchi za Ulaya, sasa nilikua naomba muongozo wa nchi za ya kwenda na maisha ya...
Habari wanajamii forum:
Leo ni siku maalumu kabisa aliyozaliwa my darling doughter,sister from another mother,darling in crime,sweetheart....... Heaven Sent miaka kadhaa iliyopita.
Mpendwa...
Mzee anayeamka mapema kwenda kufanya kazi alikuwa kijana aliyelala sana. Kuna hatari endapo mmoja atakosa usingizi, Lakini kuna hatari kubwa zaidi endapo mmoja atasinzia sana.
VIjana tujitahidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.