Wakati nipo kwa matembezi yangu jioni hii kwenda kutafuta chimbo la kumaliza week. Nimeokota calculator kubwa halina vibonyezeo kwa mbele lakini ukibonyeza vitufe vya pembeni linawaka na kuandika...
Toka jana usiku saa 4 mpaka muda huu bado anakoroma tu na hajanigusa hata unywele.
Nimetoka asubuhi na gari yake nimeenda church nimerudi yeye hajui chochote.
Na ndio jana tumeanza mahusiano...
Mapenzi yanauma kuliko chochote sababu hayana dawa kabisa. Huyu binti nilimpenda kupenda, anatembea na nusu ya uhai wangu.
Tumekuwa kwenye mahusiano muda mrefu na tulipanga mengi, nilijitahidi...
Wakuu kutokana na hulka yangu adimu ndani ya JF ambayo haifanani na wengi wa waliowazoea huko wanakotokea member wengi wa JF wamekuwa waking'ang'ania kunivua nguo ili kuthibitisha jinsia yangu...
Ni siku nyingine tena Mwenyezi Mungu katujalia uhai ,ikiwa na maana tumepata wasaa pia wa kutafuta pesa -ikiwa ina maana ukiwa na pesa itakusaidia kupata suluhu ya mambo mengi sana .
mimi ntakupa...
Eti uende kwa P Diddy utoke bure? Umeshaona Timu ya nje inakuja kwa Mkapa na inatoka bila Kufungwa? Kwahiyo Nyumbani kwa P Diddy ni kama tu kwa Mkapa ukiingia lazima Uchapike na ikibidi hata...
Baada ya waziri Mhagama kugalagala mbele ya Mpendwa Wetu Mh Rais Samia akimshukuru kwa misaada ya miradi jimboni wako Watu wameshangaa
Sasa kwa taarifa yenu hiyo ni Mila ya Kawaida Kabisa kule...
Kuna ule ushamba wa wadada wengi wa kibongo wanaoamini kwamba tango haliwezi kupikwa kama ambavyo limezoeleka kuliwa bila kupikwa.
Kiukweli unakosa uhondo mwingi wa tunda hili adimu unapolitafuna...
Mimi ni mmoja wapo wa tuliosoma advance kwenye hizi shule za ufundi yaani Technical Secondary School wakati Olevel nimetokea shule ambazo sio ya ufundi.
Shule zile ni zuri sana kwa Olevel kwa...
Wakuu ni uhakika?
Ni story huwa inanichekesha hata nikiwa mwenyewe nikikumbuka tu.
Ilikuwa mapema ya saa2 usiku tupo kijiweni mimi jamaa 3 tunapiga story kadhaa wa kadhaa
Mara jamaa mwingine...
Najua vijana wengi wanafanya betting ya football, casino nk kama sehemu ya kujipatia kipato.
Wapo wanaoshinda na wapo wanaoliwa sana pesa zao.
Leo tuambie kwenye reply, ni kiasi gani umewahi...
Miaka mitatu ilopita nilikua vijijini nilishangaa kuona watu wamewekeza sana mjini wengine wana nyumba huku mjini halaf kule kijijini pesa wanaingiza kutoka mashambani yani mazao.
Kabla sijaanza...
RULES OF DATING SOMEONE'S WIFE;
1. Never take photos with her.
2. If you called and she hangs up, don't call her back, the husband is around.
3. Don't text her love messages.
4. Satan should...
Kama ulkua Haujui, Basi tambua simu unayomilik inaweza kukutambulisha wew ni Mtu wa Aina Gani Kitabia, Nakusogezea Angalia chama lako
1. IPHONE -watu wanaoigiza maisha. kwa Mwanamke anaonekan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.