Cheza na Watu wote, ila siyo wa JamiiForums kwani kuna Wengine hapa wanakujua ndani nje hivyo wakiwa hapa wanapiga Spana za maana lakini ukiwa nao tu Wanakuzuga kwa Kukuonyesha wapo nawe...
duh jana nilikuwa maeneo ya mwananyamala sasa kuna sehemu kukawa kuna sherehe si ndo nasikia mc kapokonywa maik jamaa anatangazo
jamaa anatangaza nimenunua iPhone 13pro macho matatu million moja...
Hakuna jambo jema kama kujua unapendwa na watu pia wanakupa attention je mimi Superbug napendwa na je nani wananiadmire humu jamiiforum?
Pia naomba kama wewe ni mpenzi wa kupenda kupendwa basi...
The flame on your birthday candle can dissappear, but the flame of love for you in my heart will not. Thank you for always being there for us...Happy birthday champ
Kingsmann Kingsmann Kingsmann
Yaani katika kitu huwa nashangaa yaani watu ambao wamebahatika kuwa na dada kuruhusu fukara amuoe dada yake yaani Mimi ningekua na dada fukara hawezi kumuoa yaani masikini akishaingia kwenye...
Kila nikiangalia nyuzi zinazoniongelea Mimi tajiri wa hii dunia ni za masikini ambao nawaambia ukweli kwamba waache kuwa malofa watafute hela wanafikiri kwamba nitaacha kusema huu ukweli.
Nyie...
Kwenye haya maisha hua nashangaa sana mtu unakuaje na miaka kuanzia 28 halafu bank account Haina hata billion 30 ambazo ni pesa za nyanya kwangu.
Aisee hivi unaishijeishije na mwanamke ambae...
Nyie masikini Mimi ni mtoto mdogo sana ila pesa zangu ni nyingi kuzidi hata za baba zenu na mtaumia sana na utajiri wangu sababu nyie ni mafukara tafuteni hela sio mnakaakaa kizembe humu Mimi...
Stori kidogo
Kundi la maprofesa waliitwa kupanda ndege.
Milango ilipofungwa maprofesa walifahamishwa kuwa ndege hiyo imetengenezwa na wanafunzi wao.
Maprofesa wote wakakimbilia kwenye mlango wa...
Je wewe kama mtumiaji wa Jamii Forums unapenda kutumia kiolesura cha mtumiaji kipi kati ya vifuatavyo
1
2
Au 3
Binafsi napenda kutumia namba 3 kwa sababu rangi yake haiumizi sana macho...
Hahahaaaa😂😂
Mambo mengine inabidi tu ucheke hata kama yanasikitisha.
Hapa mtaani Kwangu Jijini Dar nimekutana na Mwanadada akihangaikia matibabu yake baada ya kushindwa kuongea na kutamka vizuri...
Huwa nashangaa mtu anaumri mkubwa halafu ni fukara wakati nipo Mimi mtoto mdogo tu miaka 28 ila pesa nyingi.
Hivi mnafikiri kuwa na umri mkubwa ni sifa wakati mfukoni hamna kitu tafuteni hela...
Habari za mda huu siku ya Leo nimetoa mualiko wa maulidi Kwa masikini wote nimechinja ng'ombe 25 Kwa ajili ya masikini hakikisheni mnafika maana mnanjaa sana na Kwa wale wanawake ambao mnahitaji...
Hakuna kupika leo, tuingie mtaani, wkend imeanza; wapi kuna vaibu nzuri kwa siku ya leo; kuwepo na laivu bendi yenye mdundo wa taratibu, usiochosha mwili na viungo.
Mi nimeshapiga pamba zangu...
Aisee mimi katika vitu nimekaa navyo kwa miaka mingi na mpaka sasa bado ninavyo na vinaniwezesha katika service za mwili wangu ni taulo na sanduku la nguo ambalo nimelitumia mara nyingi kuhifadhi...
Heshima kwenu wana jf
Niende moja kwa moja kwenye mada. Kwa walio zaliwa mwezi bora na mzuri kuliko miezi yote mwezi wenye bahati katika maisha, mwezi maalum kwa watu wasio na makuu na watu,mwezi...
Eti vile vivulana vya hapa mnisaidie kwamba kama ukimnunulia mtu simu ndo unampangia na jinsi ya kuitumia, unamchagulia na mitandao ya kujiunga na unataka ujue na Nickname yake ya JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.