Bila kupoteza muda wakuu mnaopenda movie zenye maudhui ya uhalifu, mateso ya kisaikolojia kama The Platform au escape room mnaweza nipa list hapa nishuke nazo usiku huu wa mwisho wa wiki.
Kwa JamiiForums na tarajia expert member's ndo mfano wa kuigwa but reality ni tofauti kabisa unakuta mtu kapost uzi very serious then Expert member anakuja kupost reply iliyojaa pumba tupu why is...
Mkazi wa Kijiji Cha Ntoija kata ya Kishogo Bukoba vijijini amekamatwa na polisi baada ya kumpaka rangi mbwa wake afanane na chui ili kuwatisha watu wa benki walioenda kumdai kurejesha hela ya mkopo.
Yani Jamii Forums ina watu zaidi ya 500000 unakosaje hata wa kukudanganya danganya.
Sasa we andika comment yako halafu atakayelike comment yako au utakayevutiwa naye mfwate inbox anzeni...
Matthew 5:5 AMP
[5] “Blessed [inwardly peaceful, spiritually secure, worthy of respect] are the gentle [the kind-hearted, the sweet-spirited, the self-controlled], for they will inherit the earth.
Kipindi tukiwa watoto, baba unakuta amesafiri, kaenda zake shamba wiki mbili au tatu, akirudi unaona mama kapika ugali-kuku na maziwa ya mgando ,mchicha pembeni na pilipili kichaa vijana wa mjini...
Habari wakuu,
Kama ilivyo kila mtu na starehe yake, wengine pombe, mpira, wanawake, uvutaji
Muda si mrefu nilikua nipo kwenye PUBG MOBILE naplay na my teamates hadi saa saba usiku, tukiwa...
Kuna mji nilikaa sasa sikumoja kuna kitu nilikuwa natafuta,ktk harakati za kutafuta hicho kitu nikakikosa badala yake nikakutana na hiki kidonge
size hiyohiyo ila chenyewe kilikuwa cha...
nimekua nikimpenda sana @_ephen sijui ndo nimekosea handle yake ?.
ila nimempenda sana... sana, siwezi kuelezea ni jinsi gani.
lakini pia nimekuja kugundua watu wengi pia wanampenda huyu Binti...
Hapa hua tunakutana kwenye tangawizi na kahawa
Mzee juma kafika na kanzu yake swafi na baraghashia yake kama kawaida, Mzee juma siku hizi ana simu ya kupangusa vidole hivo anakua busy kwenye simu...
Aisee hii kitu huwa nakaa najiuliza hivi inakuaje dume Zima umri umeenda ni masikini halafu anajisifia umri umeenda halafu mkewe anakuja kuomba pesa Kwa mtoto mdogo mwenye pesa nyingi kama mimi...
Inakuwaje wakuu
Naanza na mimi simu yangu ya gharama ambayo ndio hii nayotumia nilinunua 255k mwaka 2021
Nachoinjoy inakaa sana na chaji, imeniwezesha kuingia mtandaoni na kuchota madini mengi...
Jambo Afrika?
Mimi kama kijana wa sasa mwezi 4 mwaka huu nilinunua cm kali iphone matata ya million 2.3..
Ila nimekuja kukundua kuwa nimekimbilia maisha ya Wastafu!
So hiyo pesa bora ningeiweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.