Ramadhan Kareem.
Bwana Mshana Jr ndiye mwanaume mwenye mivuto kuliko wote hapa jamvini.
Mshana Jr huwezi kumuweka kwenye viwango vya kina mpwayungu village , GuDume, @dr hayaland nk.
Mshana Jr...
Kuna baadhi ya walimu bana walikuwa hawana shida na mwanafunzi kabisa.
Leo nimeikuta hii Facebook nikamkumbuka mwalimu wangu aliyekuwa anapenda sana kusema hivi.
Nataka nijue tu kuna sometimes unaamua kupunguza kulewa kwenye ma bar na wanawake unaamua sasa kuwa unakunywa 2,3,4 mazingira ya karibu na nyumbani.
Ila mke anaanza kuleta tofauti anadai usinywe...
Mtu utasikia anadai anaenda sehemu kula bata ila akifika anakunywa soda chips labda na kipande cha kuku. Kwani kula kwa tunavyohisi ni kitendo cha starehe yaani yawe mambo yenye utofauti kidogo na...
Kipindi cha uchumba: ushatolewa posa mwenyewe unangoja kufunga ndoa aisee hiki kipindi binafsi nilienjoy sana na sio Mimi tu Bali wanawake wengi hufurahia kipindi hiki..
Kipindi cha mimba...
Nawapenda sana na nawatakieni jioni njema wadada wa Jamiiforums mtag mdada unaempenda na unae mkubali sana mimi nawakubali hawa👇👇 FaizaFoxy
Kasie
Dr Lizzy
Depal dada yangu
Jadda
Kalpana
Unique...
Naomba nikosolewe au kupongezwa kwa utaratibu nilioelekeza nyumbani kwangu kwamba ni marufuku wife kupokea shukrani za mgeni anaeshukuru kwa chakula.
Hii imekua ikitokea hata kwa wageni ambao...
Nimewatazama wazee wangu pamoja na marafiki zangu ambao ni wazee, nimegundua miili yao haiongezeki zaidi ya kupukutika; ile minofu iliyokuwa inaficha mifupa inapotea.
Sasa najiuliza swali kwa...
Aisee naona kama nimeshindwa tena kuwapiga sound mademu yaani siku hizi sound zangu naona kama zimeisha nguvu kila demu ninaemtongoza now simpati sijajua shida ni nini maana hadi nimekata...
Mambo yalipofikia sio mazuri. Nadhani inahitajika busara ya ziada kufundishana na kuelekezena pasipo kubughudhiana na kutukanana.
Kina dada wa JF mnataka tufanye nini! tutafute mbinu zipi...
Naisubiri siku hii kwa hamu niamke mwenye hasira kiasi cha kutaka kuua mtu na si mmoja
Kabla ya kulala usiku huo nitakunywa pombe nyingi na bangi nyingi ili nikiamka niwe nazo kichwani na...
Nasikia kuwa mwanamke akikuchukia ni amekupenda sana .
Nauliza hivi maana kuna mwanamke hapa karibu na sehemu nilipo ananichukia sijapata kuona chuki ya namna hii .
Wadada wa jamii emu...
Katika pitapita zangu leo jioni maeneo fulani ya kujidai nikakutana live na mwanajf mashuhuri sana hapa kutokana michango yake ya ajabu kwenye nyuzi tofauti tofauti. Amenichangamkia sana sikuwahi...
Huu ni utafiti wangu binafsi nilioufanya kulingana na curiosity nilokuwa nayo kujua hili na lile katika masuala mazima ya udereva na jinsi madereva wanavyoliendesha gari langu kulingana na life...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.