JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
“I am Henry Ford, whatever I don’t wear” Once, when he was already a billionaire, Henry Ford came to England on business. At the airport information desk, he asked about the cheapest hotel in...
13 Reactions
21 Replies
3K Views
thread hii inakuja kwako Kwa udhamini mkubwa kabisa wa samsung s8+! Comrade, mtaani wanapenda kuniita mzee wa black and white! eebanaeE! sijisifii, lakini kwa upande wa kutundika mavazi mwilini...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Utafiti nilioufanya kuhusu kuongea lugha ya kingereza kwa ufasaha nikagundua wanaongea vizuri ni: Walevi tuu na wanawake tuu ule mda wanasex.. Huu utafiti unaendelea...
5 Reactions
48 Replies
3K Views
Tuache utani yule askar magereza no1 asingekua na walinzi wa kutosha angempga kwa maoni yang anafaa kua mkuu wa majeshi CDF maana nidhamu ya uoga kwake mwiko AMENIINUA.
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Mambo ni moto, MAPENZI ni kitu hatari sana, penda akupendae, usiombe kuachwa/kusalitiwa na mpenzi umpendae utajuta, Naomba majibu toka kwenu wanaJF ni njia zipi wawezazitumia ukikutwa na hali...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari za asubuhi Wadau? Leo Nimeona Tujadili Kuhusu Avatar,Ukiacha Avatar Yako mwenyewe uliyoiweka ni Avatar ipi nyingine unaipenda,Na sababu gani Kama kuna sababu,manake Avatar nyingine unaweza...
0 Reactions
89 Replies
8K Views
Nawaza tu. Katika hali ya kawaida,iwe kwa ajali au vinginevyo. Nitawezaje kuishi bila uume. Kwa wale wasiojua uume ni sehemu za siri za nwanaume katikati ya mapaja zimefungamana na korodani. Uume...
2 Reactions
45 Replies
4K Views
Jana nimeenda na laki 1.5 , dakika chache katu haipo . Pesa ipo Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
4 Reactions
37 Replies
4K Views
Kwa wale wanao chezea katika mobile phone,, Uzi tayari.
3 Reactions
45 Replies
3K Views
Jaribu kufikiria kama ungekuwa unaishi milele, je, usingeomba poo wewe mwenyewe na kuomba kupumzishwa after lets say 1000yrs of life, tuwe tu wakweli...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Nliwahi kuskia kuwa kuna kitengo maalum huko vituoni, panaitwa Gereji [emoji16][emoji16], naskia huko ukiingizwa wanatia mashuti ya hatari ni lazima useme ukweli tu. yule jamaa wa magunia ya mkaa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
[emoji848]Enzi za Jakaya Mrisho Kikwete weekend kama hii. Muda kama huu unakuta upo zako nyumbani. Ghafla jamaa anakupigia simu. [emoji848] "Kaka upo wapi? njoo Maisha club, beib yangu imekuja...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Mzuqa! Tuendelee tu kumshukuru Mungu na kujivunia kuzaliwa mwafrika. Ni jambo jema na la kujivunia. Laiti tungezaliwa kama wao ama kukulia toka utotoni kwenye Jamii yao tungebaki kuwa mazoba...
9 Reactions
65 Replies
18K Views
Kama ulipita mafinga tuambie unakumbuka nini Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Daa nilipotea njia aisee.
0 Reactions
1 Replies
432 Views
Habari za siku wakuu. Nipo na huyu binti hapa geto kwangu ni mwezi wa 2 sasa tangu nihamie hapa ila huyu bibie anadai ameyachoka haya maisha hapa geto Je nifanyaje wakuu ili huyu mrembo wangu...
2 Reactions
64 Replies
5K Views
Ukiachana Na Mihogo Ni Chakula Gani Kingine Ambacho Kinafaa Kwa Mtoto Aliyetimiza Wiki 2?
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Umeenda semina Njombe, una ndugu yako kule. Unamtaarifu unakuja kumtembelea. Anakuambia karibu sana. Anakuelekeza panda daladala za Ramadhani shukia kwa Sanga. Unashuka stendi unamkuta ndugu yako...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Ebwana jana Alhamisi mida ya saa7 mchana nilikatiza maendeo ya Tandale nikiwa naelekea Sinza ebwana nilikutana na lundo la watu wasiopungua 30 wakiwa katikati ya barabara wakidai eti wamefiwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habarini wanazengo Kama kichwa cha habari kinavyojielezea niko njia pandaaah!! Nimefanikiwa kumaliza diploma in procurement and supply management nimejaribu kutafuta kazi sijapata mpaka sasa...
2 Reactions
77 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…