Tutoleane ushuhuda hapa wadau kutokana na mazingira yanayotuzunguka maana nimeshuhudia watu wengi wakilalamika muda mrefu kuhusu mambo hayo,Huyu"Anatafuta wembamba muda mrefu haupati huyu...
Wakuu embu tukae kikao wanaume wa mikoani tuangalie ni jinsi gani ya kuwasaidia wanaume wa Dar, maana hali inazidi kuwa mbaya kila kukicha. Ziku zinavyozidi kusonga nao wanazidi kuharibika.
Karibuni
Wasalaam wakuu,
Hatimaye nimerudi tena baada ya kimya cha mwezi mzima. Natumai mnaendelea vyema na shughuli zenu hapa jamvini na hata za nje ya jukwaa. Katika mwezi huo mmoja niliokaa kimya...
Hello forums
Leo nimeamua kutoa shiling elfu 20 kwa watu wa tano kama shukurani kwa Mwenyezi Mungu kwa kunifanyia wepesi na kuniraisishia njia ya kutimiza malengo yangu mwaka huu,malengo ambayo...
Binafsi napendezwa na kuvutiwa na hii Couple ya THE BOLD na NIFAH hapa jamii forum mpaka nashawishika kuwajibu na kisha kuwaenzi hawa maicon wetu kwa mapenzi motomoto na mubashara wanayotuonesha...
Hivi wale mliokuwa mnakaa chooni shuleni muda wa vipindi mnafanya kazi sasa hivi?
Hivi Vipi wale chairperson wa debates mashuleni sasa hivi hapo Shirika la utangazaji la BBC na CNN midahalo...
Kwa uchunguzi wangu wa haraka haraka, nimegundua kuwa avatar nyingi za wana JF na mawazo yao zinaendana kabisa, na inavyoonekana kuanzia mtu anachagua avatar yake anakuwa anacommunicate na inner...
Si watoto tu hata watu wazima huulizana maswali ya kijinga. Hebu tuulizane. juzi kati nimepita sehemu nikakuta madingi wanaulizana.
"Eti Malaika ni ndege?". wakuu hivi Malaika ni ndege?
HII NDIO TASWIRA YA SIASA ZA TANZANIA, UNAAMBIWA KATIBA INAFUATWA, MARA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI UPO, MARA UHURU WA FARAGHA UPO, MARA OOH UHURU WA MAONI NA KUSIKILIZWA UPO. ILA JARIBU UONE...
Wakuu habari zenu,
Mimi ni kijana na nimepitia mengi katika maisha yangu ya kimahusiano. Nimekua na kila aina ya wanawake tangu nilipokua kapuku mpaka leo naweza kwenda 4ways na kulipia bill...
Daytime natimba kuibuka huku jamii nakutana vitu vya ukweng,e kuchimba indeep mavitu ya fyade mazee full happy
Respect kwa masela zanguni wotee nawakubali kinyamaa
Aisee katika pita pita zangu naona watu wanajaribu kumfananisha Scofield na Professor sasa Najiuliza hawa wamevuta bhangi ya wapi??? Maana scofield kile kichwa Kingine yani series ya Prison break...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.