JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mimi ndimi. Aseee Mimi nikiona mtu, mwanamke au mwanaume kavaa miwani ile ndogo ya mtu mwenye matatizo ya macho halafu ndio awe mwembamba, naona kama ana udhaifu Fulani hivi, yani naona kama hana...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Knock! Knock! Knock...!! The devil want to come in... Muvi kubwa inayopendwa na wengi duniani Avengers Endgame is coming.. Officially inategemewa kutolewa tarehe 26/4/2019 United State. Jina...
1 Reactions
42 Replies
6K Views
Nilijikuta nabuni style ya kukata gogo nyumba ya kupanga hadi leo naitafakari sana nabaki kucheka tu. Nilikuwa nafanya masomo kwa vitendo, sasa nilienda mkoa flani kwa mwaliko wa rafiki angu...
7 Reactions
13 Replies
3K Views
Hindi gani ninaweza kuondoa (disk read error) wakati wa kupiga window kwa njia ya flash...maana ni shidaa sans... pis kompyuta yangu...hujuizima pindi Niki (restart) tatizo nini...msaada...
0 Reactions
0 Replies
480 Views
Habari za mda huu wana Jf, Naomba tujadiliane kuhusu hili jambo kama kichwa cha uzi kinavyosema Kwa mfano unaweza ukawa umetoka kwenye mishe zako unarudi home ukaona Butcher kubwa imepigwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanawake wenye makalio makubwa wanapata shida sana kariakoo hasa wanapotembea mizigo ikitikisika Tufanyaje ili jamii iwaone ni binadamu kama wengine Mwenyezi mungu kawaaumba hivyo na maumbo...
0 Reactions
8 Replies
798 Views
Aisee hii kitu mimi siipendi sio siri. Nikiumwa daktari ni heri kunipa mamia ya vidonge nibugie lakini sio kuchomwa sindano ya tako. Kiufupi siipendi na naiogopa kuliko.
6 Reactions
79 Replies
8K Views
Nina dada (upande wa mama mkubwa) ana miaka 22 mpaka leo hajawai kuwa na mwanaume yeyote sababu anazosema anataka mimi ndie nimtoe bikra yake. Nifanye nini ndugu zangu?
4 Reactions
141 Replies
72K Views
km 39000670 Ilikuwa inadaiwa Tra milioni 30 lakini usihofu deni limefutwa, chombo ipo safi bei maelewano tu.
5 Reactions
22 Replies
7K Views
Dah nasikitika sana wakuu kuwatarifu kuwa toka nizaliwe sijawahi kabisa kulamba mchuchu mkali mweupe mwenye shepu tata na anayejua kulembua kama beyonce Dah yaan kila nikiona demu mkali naogopa...
4 Reactions
61 Replies
7K Views
Wakuuu Habari za leo i hope mko poa baada ya Salam najielekeza kweny mada Eti ni maneno gani mengine ya kiingereza ambayo watu wanapenda kuyatumia sana ktk maongezi yao mbalimbali iwe Ofisini au...
0 Reactions
80 Replies
6K Views
Tumsaidie huyu dada nimekuta ombi lake whatsapp. Tafadhali click link hii hapa chini itakupeleka kwenye Insta yake na utalike hiyo picha. Ambayo inashiriki mashindano fulani hivi utaona. Cha...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Guess what!!!!!!!!!!!!!!? Nimemiss zile siku naamka asubuhi natoka nje naanza kukamua maziwa then mida ya saa mbili napata ugali mkubwa na maziwa yaliyopekechwa "masuke" kwa kisukuma.Kisha...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wanaume wa Jf kwamba hawapati PM kutoka kwa warembo wa Jf. Mfano Zero IQ na Da 'Vinci na wengine wengi wakilalamika kufungiwa vioo. Sasa niwaambie siri...
31 Reactions
788 Replies
29K Views
Hivi wazee kwema humu? Nini maana ya Android
0 Reactions
7 Replies
800 Views
Kuna mtu tunabishana hapa....
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Unafiki ni sanaa muhimu sana katika maisha, rafiki yangu aliwahi kuniambia MAISHA BILA UNAFIKI HAYAENDI, nilimuona mjinga na mshamba na limbukeni mkubwa. Ila kwa sasa nimerealize kweli maisha bila...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu nimeanzisha huu kwa lengo la kuonyana kuhusu tabia mbovu zinazoonekana kwa baadhi ya member wa jamiiforums. Naanza mimi. 1. Sipendi kabisa tabia ya baadhi ya members kuingilia na kuvuraga...
7 Reactions
129 Replies
6K Views
Yani ukigombana na mwanamke Ooh! Mwanaume hata umpe nini hatosheki. Ooh! Mwanaume hata umpe nini atakucheat tu. Hiyo nini ni nini? Hiyo nini inakaa wapi? Na kwa nini ni hiyo nini isiwe kitu...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Hii naikumbuka sana kipindi cha Irene Uwoya akitrend.
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom