Hapo zamani za kale aliondokea Abunuwasi. Abunuwasi huyo aliishi katika mji mmoja wenye watu kidogo. Katika mji huo Abunuwasi alikuwa mtu maarufu sana kwa sababu alikuwa mcheshi, mchangamfu, na...
Nakumbuka miaka ya 2000 mwanzoni lilipata ajali gari lililobeba kontena la magodoro lilipata ajali kijijini kwetu,asalalee ....kama kuna mtu analalia ngozi pale kijijini atakuwa na laana! Bahati...
1. Usipokee simu ukiwa na mke wa mtu, unaweza kuwa unafuatiliwe ili usiuliwe fala wewe.
2. Usitumie gari yako inayofaamika, chukua taxi,uber,bajaj au bodaboda fala wewe.
3. Usiandikishe jina...
Najua wapo watakaoniona malaya, ila bora niseme liwalo na liwe.
Sababu za mimi kufungua ID mpya ni kwamba nkitumia ID yangu ya zamani bwana wangu atajua kuhusu hili. Na sina uhakika kuhusu huyu...
Kisa wanyakyusa ubatiza kutokana na tukio, kisa leo ajali ya Lori, kuwa mtoto tumuite ATULIPUKILE MWAKATANKI wakati nataka aitwe Samia
Mme kamsikiliza,
Bila salamu direct to the point..Leo mida ya mchana nikiwa Town napiga misele nikiwa na chali'angu flani ivi,Mala ghafla kaja mzee wa ki'maasai yuko race kanikumbatia khaa.!!Tukashangaa uyu mzee...
Ni kwamba kuanzia sasa….
Nikiwa naongea na Mtu yoyote Kwanza namwambia azime Simu yake
Nikiwa nazungumzia mambo ya Siasa na Mtu namwambia Kwanza azime Simu yake
Nikiwa namtongoza Mke wa Mtu...
Pongezi kwa waanzilishi wa kampeni ya usichukulie poa Nyumba ni choo. imekuwa kama mazoea watu kutoyapa kipaumbele mambo yenye umuhimu kwenye maisha ya kila siku na kuona ni vitu tu vya kawaida...
Vipi wakuu mko poa? [emoji23][emoji23]
Makonda wa daladala wanasemaje.....Mnadai mia au mnapotezea?[emoji41][emoji41]
Haya turudi hapa[emoji855][emoji855]
Leo asubuhi nilienda dukani, mara baada...
Ujumbe kwa wanaume: Mkeo akikwambia nipe dk tano nijiandae tutoke, my brother go to watch news in your sitting room.
Ujumbe kwa wanawake: Mumeo akikwambia nipe dk tano nitakuwa nimeshafika...
Jamaa alikuwa kwenye safari ya kikazi mkoa ambao ndio ukweni kwake. Alikwenda kuwasalimu wakwe akiwa kwenye msafara na wenzake. Kama ilivyo ada ya Kiafrika wakwe walimsihi aende akawasalimie...
Mzuqa wanajamvi!
Yani Meiweza anakera sana. Toka 2016 nilikuwa nafiziaga posti zake yani akiposti tu na mimi wa kwanza kulike na kukoment mfululizo kama mara mia maneno yaleyale. Floyd my...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.