JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Siku hizi nyumba kama hizi sio nyingi sana kwenye jamii yetu, nadhani inatokana na mabadiliko ya kimaisha, kijamii na pia kiuchumi Hizi ni nyumba ambazo ndani hake wamelelewa watu wengi sana. Sio...
1 Reactions
4 Replies
765 Views
Leo niko huku kidogo. Angalizo ! Kama uzi utakuwa una fanana au umeshawahi kuwekwa humu,ni aula nikakuzwa. Sina kumbukumbu vizuri,ila nakumbuka ulikuwa uzi fulani unahusu "Cloning"...
5 Reactions
63 Replies
3K Views
TABIA 20 ZA WANAUME WA TANZANIA: 1. Wanaume wavivu zaidi Tz- WAZARAMO..Hawa hawafanyi kazi kabisa, wao hushinda vibarazani, kucheza bao, kunywa kahawa na supu ya pweza! 2. Wanaume wabishi zaidi...
10 Reactions
82 Replies
15K Views
Weekend ya leo najisikia kulewalewa tu 😃😃 Nimevurugika
5 Reactions
75 Replies
4K Views
Napenda kufahamu iwapo wanaume kutoka jamii ambazo hazina utaratibu wa kuwatahiri wanaume wengi wao wanakuwa waoga na kupenda kutumia vitisho katika kufanikisha matakwa yao katika jamii. Pengine...
0 Reactions
0 Replies
917 Views
Saa 9 Usiku: Timu itawasili JNIA huku Taa zote zikiwa zimezimwa Uwanjani ili Wachezaji wajigonge na Vyuma waumi na wengine wajikwae hadi Kuanguka ili akili ziwakae sawa Michuano ijayo wazitumie...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni huyu apa lakini alishafariki mda mrefu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KISA CHA ABUNUWASI NA MFALME SIKU moja alfajiri, wakati wananchi wa mji wenye wakazi wengi walipokwenda kuchota maji mtoni, walishangazwa kuuona mkono wa mtu ukiwa katikati ya mto. Mkono huo wa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna mwalimu mmoja aliingia darasani akaandika ubaoni kama ifuatavyo (1) 9+1=70 (2) 9+2=11 (3) 9+3=12 (4) 9+4=13 (5) 9+5=14 (6) 9+6=15 (7) 9+7=16 (8) 9+8=17 (9) 9+9=18 (10) 9+10=19 Alipo maliza...
0 Reactions
0 Replies
724 Views
Amani kwenu popote mlipo watoto wa Yegela,jaman tujuane basi,mm ni mmoja wa waliosoma pale nimeamua kuvunja ukimya kwa kuwatafuta.
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Tumsifu Yesu Kristu! Tumekuwa tukiwaona MaAskofu wetu wakiwa ndani ya Baadhi ya Mavazi ambayo mara Pengine wengine Hatuyafahamu, Basi Haya na Ndiyo Maelezo ya kila Vazi! 1. Pete ya Askofu...
28 Reactions
69 Replies
26K Views
Kwa mujibu wa Msemaji wao na namnukuu hapa chini. " Tulikubaliana kabisa na Simba SC katika Pre Match Meeting kuwa tunawaomba Mechi yetu wasiwacheze kabisa akina Shiboub, Chama na Kahata kwakuwa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za mda huuu.... Poleni na changamoto za maisha.. Hususani kipindi hiki... Niende kwenye mada kwanza elimu yangu form six pekee mana chuo kipindi hicho sikuweza kuendelea japo nilifaulu...
25 Reactions
139 Replies
18K Views
Niaje wakuu, mwenye magroup ya whatsupp naomba aniunganishe tafadhali 0656830740
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Me: babe,babe kesho nafanya zoezi la kurusha ndege chini ya uangalizi wa mwalimu wangu..niombee nifaulu mpenzi. She: nyooooo!unashindwa kurusha vocha ya buku utaweza ndege![emoji135]
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Alisikika jamaa mmoja akisema "Kaeni mbali sijabeba ulanzi" Hii kauli sikuielewa kabisa naomba kama umeelewa tusaidie kutuelimisha
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Duru za Habari zinazoenea chini kwa chini ndani ya serikali ya Wanafunzi Chuo kikuu cha Dar es Salaam-DARUSO zinasema ya kwamba mmoja ya mawaziri maarufu wa serikali hiyo mpya 2019/2020 amepata...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Kwa maisha haya wamama mtalalamika mpaka Beijing kwa mala ya pili.
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom