Salaam/Shalom.
Namshkuru sana MUNGU kwa kunipa afya na pumzi kuweza kufikia siku hii ya leo. Namuomba azidi kunipa afya njema na umri mref ulio na Baraka, Furaha na Amani tele ndani yake. AMIN...
Husika na kichwa cha habari hapo juu
Nimepata mchumba kutoka South Africa ila ndugu yenu nauli ya kumtumia sina kumleta huku kwetu sina jamani watanzania wenzangu najua sasa ni kitu kimoja msaada...
Has been a while since I was here !
Miss al good days when there was no instagram drama or snap! Enzi za kina blog za mange na sintah LoL Current news ni hapa ama fb! How is everything and...
Bila kujalisha ni kitambi cha utapiamlo au kile cha bia na nyama choma, raha ya kitambi uwe na vimiguu vyembamba, piga kimini na kitop kama wewe ni mdada, au piga pensi kama wewe ni mkaka, ili...
Dah enzi hizo niko Tukuyu nasoma sec school kati ya vitu ambavyo vilinipa kazi mpaka sasa ni kuoga maji ya baridi asubuhi ili kuwahi assembly. Hivi wewe ulikua unaoga maji baridi kwa staili gani...
Daah nikikumbukaga hili tukio huwa naumia Sana..
Ni tukio la kikatili mnoo.,lililofanya nichungulie kaburi!..
Toka siku hiyo nikaamini ule msemo "dunia hadaa walimwengu shujaa "😤😤
tukio hili...
Mimi nawasaidia kwa kuanzia
"Wadada wa jf fungueni pm zenu hizo mnapishana na magari ya mishahara"
Karibuni wanaume mtoe madukuduku yenu wadada watapita hapa kusoma ili wajirekebishe...
Nahitaji flat srceen used au mpya kwa mwenye nayo plz tufanye biashara awe maeneo ya Dar utaje na bei. Kampuni ile Lg samsung au tcl au nyinginezo ila isiwe star x
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo wengi wengine tulijuana kwenye biashara za kilimo enzi zile... baadhi kwenye harakati ya NNT huyu alidai ananijua tulionana simu2000 Mshana Jr
Wewe je Ni member gani unae mfahamu?
Huyu jamaa angekuwa Nje hakika angekuwa Billionea saa hizi lakini Kibongo bongo yani haya Majiko atauza kwa bei ya ovyo akati idea yake ni Ubillionea tosha... Sema jamaa noma sana la saba lakini...
Hello Guys..
I'm looking for the two girls..
Naamini kabisa kama watakuwa hai basi na jamiiforum [chit chat] watakuwa wanaijua...
Majina yao ni Irene yeye alikuwa wa dar, na Admirable...
Mkiambiwa Ustaarabu anauweza Simba SC tu muwe mnaamini. Wachezaji wa Yanga SC leo wamepanda tu Ndege wameshuka na Mali za Ndege na sasa nasikia baadhi yao wanapekuliwa hivyo Vitu. Mpaka sasa...
Kuzitaja namba huwa zinaleta utata kiasi kwamba wakati mwingine ni kituko.mfano MTU anasema laki kumi.
Ili tuende sawa unataja namba na mwingine anaendelea ulipoishia ili kuona mwisho wa kutamka...
Tunauza na kusambaza mbwa aina ya German sherfad,mikoani tuna tuma karibuni sana,
Mbwa wetu wanauwezo wa kunusa na kutambua mita 100 kutoka usawa wa adui alipo, karibuni sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.