Kufuatia gharika iliyoikumba pwani ya maneromango na kusabisha upepo mkali na mawimbi makubwa, upepo huo ulisababisha baadhi ya wavuvi kwenda na maji na wengine vyombo vyao kuharibiwa. Mvuvi mmoja...
jamaa yangu fulani alisema sapati badala ya chapati mwingine alisema mti wa mbibo badala ya mkorosho mwingine alisema kila mbwa kona hawa badala ya kila kona mbwa hawa mwingine alichapia umbombo...
Bandugu niwatakie heri ya pasaka..kwa wale wa baa, lounge, club tutakutana usiku.
Tuanzisheni tuzo za jf mshindi atashinda kutokana na mchango wake kwenye jukwaa husika, na aina ya michango yake...
» Awe mrefu
» Anaishi Dar
» Mwenye kazi halali ya kumwingizia kipato
» Umri 24 kwenda juu
» Awe mgumba/asiyezaa/tasa
» Awe mkristo/mkristu
» Elimu kidato cha nne kwenda juu
» Mimi ni ME
Kwa ambae ana mtoto anasumbuliwa na homa mala kwa mala hasa wakati wa usiku,
Na mala nyingi akimpeleka mtoto hospital anashindwa kutambua hasa nn chanzo cha mtoto kuchemka na kua na joto jingi...
Uzi wa matajiri
Jaribu kufikiria unakutana kijana anaejiita sharobaro au masister duu amebeba kitecno chake mf kiCAMON X cha vilaki vinne huku amekishindilia makava na maprotecter hadi kisimu...
Wangu ni huu
Kinyonga akiwa anazaa/kujifungua basi anapasuka na kufa ndipo mtoto anatoka nilikuwa naumia sana akili sasa mtoto wake anatunzwa na nani ikiwa mama lazima afe!!
Mamba akihisi njaa...
Kuna jamaa bna tulikuwa nae village huko
Siku moja wakaja jamaa wa mazingaombwe school kwetu,kiingilio kilikuwa sh ishirini. Mimi sikuwa na hela unajua me nimetokea familia choka mbaya sana
Basi...
Dada Zangu ma besti zangu na rafiki zangu, ukialikwa na mwanaume kwenda kwake ndio mara ya kwanza hakikisha ana kupa na nauli ya kurudi iweke mfukoni kabisa au akuhakikishie tu ukifika anakupa...
Ninaapa Mbele Ya Mbingu Na Ardhi Pamoja Navilivyomo Kwamba- Hawa Jamaa Wanaojiita Wakimataifa Ambao Masaw Bwire Amewananii Square Hatakama Wangecheza Dhidi Ya Majambaz, Basi Niuawe Tu Baada Ya...
Kumbu grandpa hujaoa, si vizuri hivyo. Nikiwa kama msamaria mwemawninajitolea kukutafutia mke ukishalipwa mafao yako.
Hata vitabu vya dini viliandika akamuacha Baba year na mamaye akaambatana na...
Ni swali nimetoka kuulizwa hapa hivi karibuni na dada mmoja hivi hapa kibandani kwangu mara baada ya mtongozo wa kimasihara masihara ?
Wakuu nimjibu nini?
Cc Zero IQ
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.