Japo kwa ufupi ukisoma mwongozo huu utagundua mkoa wa kigoma ni mkoa wa kipekee ambao umetoa watu mashuhuri na maarufu nchi hii tukianzia .....
1.DIamond platnum KIGOMA
2.ALI KIBA KIGOMAAAA...
Kutoka kwa mwana ubongo fleva Omary Nyembo, nipo napita yutubu nakutana na kideo cha mwanamuziki huyu ila kilichonishangaza ni ile picha ukutani na kilichonichekesha ni ule mjina aliousave mdada...
1. Visa Card
2. Driving License
3. Hela ya matumizi
Wallet ya kijana wa Kitanzania
1. ATM card ya NMB
2. ATM card CRDB
3. Kitambulisho cha Taifa
4. Leseni
5. Kadi ya mpiga kura
6. Business card...
-Kama unapigiwa simu unainyanyua juu kisha unauliza nani huyu tena anapiga! Wewe ni mhenga
-Kama ulitumia mafuta ya kimbo ya kopo la chuma wewe ni mhenga ndugu yangu.
-Lingine kama ulioga kwenye...
Wakuu Habari xa wakat huu kama ingekuwa ww ndo umekutana na hii yaani ww ndo Adimn wa hili group ungefanyaje baada ya haya yaliyoendelea kwenye group lako ukiwa kama adimn, shuka nayo mwenyewe...
Wana memba nimeona ni vema na haki kutakiana heri ya siku ya kuzaliwa kwa wapendwa wetu hasa wale wote wanaopitia na kufatilia JF. Pia kwa wale member wa JF tunaweza kuweka tarehe za siku ya...
...najua nikiangusha tu hapa nikishtuka ni saa 11, dadeq! Nauchukia usiku wa kuamkia Jumatatu.
..nasikia huku post isiwe ndefu, wala comments zisiwe ndefu.[emoji23][emoji23]
Naona huku kanda ya Kawe kwa Halima Mdee mambo ni shwari kabisa vyuma havijakaza wala nini watu .......mambo ni kazi na bata kwa kwenda mbele.
Usiku mwema!
Habari;
Ndani ya Jamii forum kuna kila aina tofauti tofauti za watu, na kila mtu ana umuhimu wake katika maisha yako. Nikiwa na maana ana msaada katika eneo fulani la maisha yako.
Inafahamika...
Jana nimetimiza umri wa miaka 24, sikuweza kusherehekea na wala sikuwahi na sikutaka kusherehekea, kwa sababu sioni cha kusherehekea, sina mafanikio yoyote Zaidi ya Ka degree niliotumia Zaidi ya...
Marekani, Uingereza, Canada zote zinaangalia uminywaji wa haki za wanahabari na uhuru wa kujieleza.
Ndege kuzuiwa ni mwanzo tu kuna mengi zaidi yanakuja. Tujiandae, sijui snitch ni nani sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.