What if TCRA wakianzisha leseni ya umiliki wa simu
Viambatanisho.-
1.Cheti cha daktari cha kuonyesha afya ya akili yako
Na vinginevyo watakavyoona vinafaa then wanatoa Class za umiliki wa...
Kweli kabisa mi huwa nafua nguo Mara moja tu na kuzianika sababu zangu
1. Nilikuwa nafua maratatu ile Mara ya tatu nikaona tanatoka maji na povu jingi nikajua napoteza muda
2. Nguo zangu...
Kwa wapenzi wa tik tok mtaandao onao post video za joking na action serious fun unaotumiwa hasa indian ,kenya na Tanzania kwa wachache wao
Tatizo lake mmoja tu ukitaka kufaidi usiwe unaweka bando...
Rafiki zangu Kwakweli Mungu Ni Mwema ,Nimepata Kazi NMB Kama Loan Officer J3 naanza Kazi
0 likes , O Comments
Hello Nimefukuzwa Kazi Hapa Kazini Kwangu ,Hivyo Nipo Home Kupisha Uchunguzi Kwanza...
KITUO CHA KUULIZA MASWALI YA KIFALA 1- NA WEWE ULIZA LAKO NA UTAPEWA MAJIBU NA WADAU MBALI MBALI
i. Shilingi 1000/-ni bei gani?- Kisa wa Mbeya
JIBU:Ndugu yangu swali lako zuri sana, uchumi kwa...
D to K, ninapokua home wananiita Dingi kwenye Kaya.
katika JF nzima, jukwaa hili ndilo mmejaa watoto kibao, mnajadili madudu tuu, njooni kule JAMII INTELIGENCE tuumize vichwa, sio mnaleta mambo...
Taarifa za ndani kutoka uwanja wa Taifa ni kwamba Msemaji wa Simba Haji Manara alizimia kabla ya mechi kumalizika baada ya vijana wa UD Songo kupata goli la kuongoza.
Baada ya kupata huduma ya...
Je,ww ni mtumiaji wa truecaller ile application kwenye simu basi hii inakuhusu, truecaller ni application ya kutambua namba ngeni inayokupigia sasa basi kama ww unaitumia hyo uko kwenye hatar...
Jumuiya ya Mabaharia kwa Kushiriana na jumuiya changa ya Maharia wanakuletea Kufuli Maridhawa za Kufunga PM
Kujipatia kufuli fika kwenye Ofisi za Mabaharia, ama muone Baharia alie karibu nawe bei...
katika pita pita zangu huko nimekutana na post ya huyu mzee wetu ,analalamika wadada wa bongo mna vizinga sana yu know, na hapo yupo jikoni na le super pajamaz you know ,gadidamu itiii
Kuna watu majasiri ,
Rubani kijana atorosha ndege
Rubani mmoja raia wa Tanzania anashikiliwa katika kituo cha polisi hapa Johanesburg Afrika ya kusini kwa tuhuma za kujaribu kutorosha ndege...
Nilikutana na mshikaji wangu Tandika stendi ya Mbagala, akanishtua kwa nyuma akisema "Malogymathematic ndio wewe!? upo kaka?" Nikamjibu nipo kiongozi tunasindikiza wenye maisha yao akacheka sana...
Ni hivi:
Nimejikalia zangu bar na ki elfu tano changu cha mawazo, na sasa najipatia kakinywaji kangu uchwara ka balimi huku nacheki mechi ya spurs na arsenal.
Wakati mimi nakunywa kibalimi changu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.