Kuna misemo inasaambaa whatsappk kila siku, ikisisisitiza kuwa ni wise quote from Mugabe? Mimi binafsi napatwa na mashaka na hiyo misemo kama ni kweli inatoka kwa huyo mzee.
Je wenzangu mnaweza...
Nasema hivi mchumba hasomeshwi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Japo kuna watu wengi tu humu wanasomesha wachumba zao na kuna wengine walisomesha na kipindi hiki wanajuuuta na wengine...
Nina Laptop yangu aina ya HP nilikuwa nimeiacha chaji nimerudi nakuta Kioo kinaonyesha Rangi nyeupe tu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Nimejaribu kuirekebisha nimeshindwa Wataalamu...
Habari zenu,
Mimi ni mfugaji nafuga kuku leo asubuhi kuna kuku wangu nimemvumilia kwa siku 5 kutokana na ugonjwa wake nikidhani angepona maana ana vifaranga vya wiki moja ila kadri muda...
Mara nyingi tunashindwa kutifautisha marafiki wa kweli na wasio wa kweli ndo mana MTU analalamika ametendwa na rafiki wa karibu. Ili umjue rafiki wa kweli unatakiwa uangalie vigezo vifuatavyo...
Tarehe na mwezi Kama wa leo ndio siku uliyopata kibali Cha kuletwa duniani.
Ifurahie siku yako Mungu azidi kukubariki na ukawe baraka kwa wengine.
Heri ya siku ya kuzaliwa rafiki Mr.Marangu
Me nashangaa kuona Marekani majamaa wanawamiminia Risasi watu wasio na hatia akati kuna Wasouth africa wanaua watu bila Hatia[emoji24][emoji24][emoji24] Alafu wanatamba tu mitaaani yani wale...
Awali ya yote uongozi wa chama kikongwe jukwaani CC kinatoa radhi kwa changamoto zinazojitongeza jukwaani. Uongozi wa chama umekuwa ukifuatilia kwa kina na kufanya tathmini za dhati kabisa na...
Coment Herufi Tatu(3) za mwisho za Jina la mpenzi wako,
Alafu mwingine Aje kumalizia kuandika Jina kwa herufi zingine zilizobaki ili tuone kama atapatia.
Mfano.
Uma=Mwajuma.
Cc Zero IQ
Mbona hainivutii?
Mbona sihisi kufurahishwa na topics za jukwaa hili?
Nilidhani pengine umri manake ni kama mawazo ya waleta mada hapa yamekaa kitoto toto sana!?
Lakini,. mbona wapo members...
Natoa Shukrani kwa wote walionesha kujali nakutumia sekunde chache kuandika andiko juu ya kunitakia heri ya siku ya kuzaliwa, Mwenyezi Mungu awajalie kila la heri
Shukrani za Pekee ziende kwa Yna2...
Mtoto mdogo alipewa maziwa ya Ng'ombe kwa muda wa week baada ya hapo Ngozi yake ilianza kubadilika ikawa na mabaka mabaka na kavuu sana na vipele.. Inaonekana ni Allergy ya maziwa sasa Hospital...
Nadhani hamjambo ndio maana mpo jf sasa, mimi sijambo lakini kama afya yako haiko vizuri pole,
Nimejikuta napenda kusoma comment tu wakati mwingine bila kuchangia chochote kwa sababu hiyo, ki...
sijawahi mfahamu huyu baba jamani mara ya kwanza nilimuona youtube nadhani ni last week akihojiwa na dada wa global tv... ilikuwa kama bahati mbaya tu kufungua video yake sababu mi si mtu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.