Sisi ni masingle ladies nalazima tule raha kabisa .
Sio mtu atupangie kula raha eti mtu anakuita malaya kisa unajiachia upendavyo .
Dah achani matani maisha nikujiachia sio kusikiliza watu .
Eti...
Kipindi cha nyuma mabaharia walikuwa wakifanya sana starehe, kwa kuwa mwingi wa maisha yao walitumia melini na pesa ipo mfukoni. Ndipo walipokuwa wakishuka katika bandari lazima wapate mwanamke...
Enzi hizo ukikamatwa, Mwl anachukua hicho kibuti ana ki attach kwenye mtihani wako kisha hata kama dk hazijaisha unatolewa nnje
Wangapi mpo makazini kwa msaada wa chabo a.k.a kibuti
Habari JF.. Naomba msaada wenu ndugu zangu nataka kwenda South Africa kutafuta maisha, naomba kufahamu gharama mpaka kufika huko iwe kihalali au kwa njia za panya (hasa hasa hii).
Nauli mpaka...
Habarini wana JF.
Poleni na majukumu makubwa ya kujenga taifa, nina suala nataka niwasilishe kwenu japo ni suala la mtu binafsi.
Neno langu siyo sheria hivyo sina maana kwamba nataka watu...
Tafadhari, kama kichwa kinavyosema.
Nina kitabulisho cha taifa nilijiandikishia Dar ila kwa sasa nipo mkoani. Lakini nilipochukua niliangalia picha na majina juu juu na kuweka sahihi na kuondoka...
Kumbe bado nahitaji kozi ya miaka maana Jana usiku wa manane nilisikia kwa jirani miguno ya mahaba Mara mvunjiko wa chaga!! Kisha nikasikia baby panda tena dirishani fanya Kama unaidondokea!!!!!!
1-Kula hovyo barabarani.
2-Kujipulizia marashi .
3-Kubishana na wanawake.
4-Kukaa sehemu moja na wanawake wengi.
5-Kuvuta sigara barabarani na huu ni ulimbukeni.
6-Kulewa kijinga hadi ubebwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.