JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
katika 100% upo katika kundi gani? 10%= mabaharia fake 30%= wanachama wa CHAPUTA hapa ndani yake wanawake wapo asilimia 2% tu asipimia 98% ni kina wanaume wa dar wengi wao wakiwa ni UVCCM 25%=...
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Pia kummiss mpenzi mpaka kulia na kukumbuka marehemu woteeee [emoji125]‍♀️[emoji125]‍♀️[emoji125]‍♀️[emoji125]‍♀️
8 Reactions
38 Replies
2K Views
Wadau, Nataka kujua huyu mshana jr ni mlozi kweli au!? maana huyu mtu namuonaga huku JF kitambo na mi mambo yake ya uganga na ushirikina na ulozi ..mara nyingi huwa naona tu apite hivi..ebana...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Miji 10 yenye pisi kali: 1. Dar 2. Arusha 3. Dodoma 4. Bukoba 5. Tanga 6. Moshi 7. Babati 8. Singida 9. Mwanza 10. Mtwara Dar: kimbilio la pisi grade A nchini, kuna kila aina ya pisi sound zako...
2 Reactions
9 Replies
40K Views
Aisee hizi habari mbaya sana hasa kwa mji uliobanana kama Dar es salaam. Nilidhani ni propaganda ila sasa mambo sio kabisa! Na hizi daladala zetu full kubanana mwendokasi ndo balaaa aisee itakuwa...
0 Reactions
34 Replies
2K Views
Me kwenye cm yangu kuna jf, watsap, teregram 'na opera news bac tuambizane wadau
4 Reactions
101 Replies
8K Views
Habari ya mchana wadau nipo njiani kwenda Tabora, naomba kwa wale wenyeji wa Tabora mnianiambie ni wapo napata malazi bora bajeti yangu ni Tsh.50000/= per day
2 Reactions
43 Replies
5K Views
Wadau mbalimbali wanaopenda kwenda kutembea Beach inabidi wajue ratiba ya kupwa(Low tide) na kujaa(High tide). Kwa Tanzania tuna vipindi 4 vya maji kujaa na kutoka kwa siku, hivyo inabidi ujue...
2 Reactions
3 Replies
701 Views
[emoji32][emoji32][emoji32]
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Haya ni baadhi ya maneno yatakayoingia kwenye matumizi ya kiswahili huku yakiwa na maana mtambuka 1. Baharia 2. Niguse ninuke Mnaweza ongeza na mengine
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini wakuu, Kama mada inavojieleza hapo juu. Sioni sababu ya kusema mengi saana Isipokuwa hakuna siku ambayo sintoisahau kama ile sikukuu ya VALENTINE DAY. Nilimdanganya dem wangu kuwa...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Nmemaliza meeting ya Kimataifa hapa Arusha... Wenzangu wameenda Serengeti na Ngorongoro... Mimi nilikuwa huko miezi michache iliyopita nikiwa na RR. Yaan Range Rover. Sijaona haja ya kwenda...
15 Reactions
92 Replies
8K Views
*MWANAUME USIMWACHIE MKEO HELA CHUMBANI* MWACHIE MBELE YA WATOTO NA UMWAMBIE NA MATUMIZI YAKE, NA WATOTO WASIKIE USIJE KUISHI MAISHA YA UPWEKE UZEENI *MWANAUME* Unamwachia mkeo hela ya Chakula...
9 Reactions
18 Replies
2K Views
Majina Kama Haya Yanakubalika Kweli? Alile Anyolile Asokile Agonolile Ntombi Atombile Sundi Asokilwe Idazi Nkonzi! Hatari Sanane! Dah? Weka Nawewe Tuone
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tupia quotes zinazokiki hasa zile zilizopo kwenye miongozo ya mabaharia
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba kupata marafiki kutoka Kondoa na Singida wawe wa jinsia zote kwa umri wowote. Mimi natokea Kilimanjaro naishi dar. Dhumuni la urafiki ni kufahamiana na kubadilishana mawazo. Mimi ni...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Huko kuna vituko sana kama hv
2 Reactions
2 Replies
2K Views
https://jamiiforums.com/sfQFsV4cPZ
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama mtu akidukua simu yako, Akapata access ya kuona call na sms zako kupitia simu yake, Pia anaweza kutuma sms au kupiga simu kwa kutumia ID yako (means namba yako) kwa mtu mwingine kwa kutumia...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom