Nilikua nikiwaza Sanaa hivi mfano nikipata mapesa mengi mnoo matumizi yake yatakua ni yepi kweli ninaweza ruka hivi vitu viwili watoto wazuri na vile vifurahishe moyo wangu...
Ama pesa...
Mwana Jamii Forum simu yako charge ipo asilimia ngapi mda huu?
Mimi hii yangu nahisi ishakuwa pasi maana siwezi kuitumia mpaka nichomeke kwenye socket.
Huyu jamaa ana uzi wake humu una 1M reply, si kitu ya kawaida hii, alafu amekuwa BANNED [emoji848] alijikuta founder wa JF nini...!?
[emoji124][emoji124]
Tryna look at this side, wengi tumekutana humu tumekua friends but when it reaches to a point kwamba mwenzetu/wenzetu anaoa/wanaoana je tutachangiana? For me, I know without a doubt Mzigua90...
Wanachit chat kutokana na waandishi wa habari za udaku kulala mbele.
Kiwatengu nashika pen kuwashushia News nzito na zenye uhakika...
Karibu udaku!!
1. Hatimaye Munkari aolewa na Afisa...
Wanajamii forum wenzanguu uvumilivuu umenishinda mimi na nikiendelea kukakaa ntaumizaa moyoo mwishoo ntaumiaa.Kama upo humuu ndanii Julieth ni PM nakuomba mimi ni kijana wa kiume mpole ,gentleman...
Wakuu kama utasikia mtu yeyote anauza simu aina ya samsung au iphone nzuri isiyozidi laki 3 ambayo ni nzuri isiyo na tatizo lolote iwe na rangi nyeusi
we muache auzeee me sina elaaa
Video hii ya mvulana akimpikia mdogo wake wa kike chakula (wali wa kukaanga wa Indonesia) imekonga nyoyo za watu wengi katika mtandao wa Twitter, ikitazamwa zaidi ya mara milioni kumi. Mbali na...
Nani ambaye hajasoma sekondari boarding kipindi kile hajui utemi na ukatili wa form two? Form one waliitwa njuka unapewa shilingi kumi ukalete vitu vya shilingi 50 halafu urudishe na chenji...
Leo ni siku ya kuzaliwa kwa mdogo wetu c.pulisic mchezaji mnyumbulifu mwenye udambwi udambwi kutoka pale kwa trump.
Habari mbaya sana hii kwa wapinzani dogo anakomaa sasa
Kwanini watu wengi hasa bongo hawapendi kabisa magari ya HYUNDAI,shida ni nini kufanya sio maarufu magari haya hapa bongo.
Ukiyatazama ni magari yanavutia sana kwa muonekano wa nje,kwa machache...
[emoji856][emoji856][emoji856]...
Kwakweli nimeumia sana sana katika hili ndugu zangu, naweza onekana wa ajabu lakini nimeumia sanaaaa!
Jana nimepokea taarifa ya kifo cha paka wangu ambaye...
Habari za weekend wadau. Namtafuta huyu dada anaitwa Khantwe , ni muda sana amepotea Jf. Sio siri huyu dada alikuwa kwenye ramani zangu na nilishandaa majeshi nimtokee mara paap kapotea! Popote...
Nina safari ya kwenda Tabora mwezi wa 3 kwa ajili ya biashara. Natokea mkoa wa Kilimanjaro, si unajua Kilimanjaro hamna mademu wa kiarabu au wabushiri. Nikiwa Tabora nina mpango wa kutafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.