JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Huu uzi maalum kwa hadithi za Ndoto tuu!!
0 Reactions
4 Replies
682 Views
Kwa miaka mitatu ambayo nimekuwa humu jamvini hakika nimegundua Kuna baadhi ya watu wanna IQ kubwa Sana ila Kuna wengine dooh! Lazima uwatafakari Mara mbili mbili ila yote kwa yote Ni kuwezesha...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Unajiona una MKOSI Kumbe Ulivyokua SHULE Ulikua Unaandika Jina Lako Kwenye Kuta za CHOO! Alikwambia nani CHOONI kuna...
19 Reactions
74 Replies
5K Views
The Boss where are you? Mwenye kujua alipo, please!
4 Reactions
65 Replies
5K Views
Jana napitazangu mtaani si kunajamaa wakaniambia acha umambosasa, ilibaki kidogo nimzabe makofi.
0 Reactions
12 Replies
911 Views
Huu ni UJANJA, UVIVU, UCHAFU, KUJIAMINI au ni vizuri kuanika hivi penye wapangaji wengi na ni karibia na barabara.
1 Reactions
7 Replies
3K Views
AINA ZA HASIRA ZA WANAWAKE.[emoji1362] Dr love Gilly [emoji519][emoji519][emoji519][emoji519][emoji519][emoji519][emoji519] 1. Kuna mwanamke ambaye akikasirika, huishia kulia tuu...
9 Reactions
123 Replies
9K Views
Hivi wewe mwanaume mwenzangu uliwahi kufikiria hili,yaani hapo ulipo saa hivi kwa umri huo alafu ndo ungekuwa mwanamke wee unadhani ungekuwa wapi. Basi nimekaa sehemu peke yangu alafu ndo...
5 Reactions
78 Replies
6K Views
Maisha ya kusoma yana vituko vyake. Moja ya vitu ambavyo havijawahi kufanya kazi kwangu wakati wa kusoma ni hii mbinu ya kuweka miguu kwenye beseni la maji, nakumbuka siku moja baba mdogo...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari za saizi wakuu nikiongelea kubanja kila mtu anaelewa namaanisha nini. Kuna siku nilienda kwenye gradue ya form4 ya mdogo wangu mbeya pale soko matola kwenye ukumbi wa mkapa kipindi hicho...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hapo Daslamu kwa wazeiya wa Viepe yai Wali nazi, Supu ya Pweza Huezi kuta kijani kibichi kama hiki Viunga vyote vya Daslamu #Kilimanjaro, #Mbeya #Kagera #Matombo_Morogoro Cc General Mangi Mr...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Mimi ninamajukumu yamenibana. Baadhi yenu mmenimisi mpaka na uzi umetolewa kuhusu nimeenda wapi. 1. Masaa yakuandika upupu siku hizi hakuna hapa tu nimepata kaupenyo. 2.humu wamezidi utoto hata...
10 Reactions
30 Replies
3K Views
Tuzo ya Ujasiri wa hali ya juu apewe Jafo bila kupepesa macho. Maana kama anaweza pata usingizi akiwa pembeni ya Huu Mwambaa JPM..aisee Hata kwenye maji anaweza lala...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Wale wote tuliotokea Mikoani baadhi najua mnafahamu sana mdudu huyo kwenye picha Sisi wa Kilimanjaro na Wilaya zake tulimwita Fuko Wale wa Daslamu piteni mbali na uzi huu, Maana mtaanza kuuliza...
1 Reactions
61 Replies
4K Views
Je, ni Saikolojia gani ambayo huwa ipo tu kwa Sisi Wanadamu ( Abiria ) hasa pale tuwapo Safari za Masafa marefu ambapo unaweza kukuta Abiria wa Kike tena ni Mrembo kabisa ( Sista Duu ) lakini...
7 Reactions
62 Replies
6K Views
Wana jf ni nyimbo gani kila ukiiskiliza inakukumbusha mbali?? Me binafsi kuna hii ya buibui "nimekusamehe ".hii nyimbo inanikumbusha dem wangu wa shule kitambo hicho nilivyomzingua ila akanisamehe...
1 Reactions
44 Replies
6K Views
Bila kuchelewa naomba niende moja kwa moja kwenye mada Leo nimeona tuje tujadili changamoto na sifa za watu warefu hasa wanaume na wanaume wafupi Hizi ni baadhi ya sifa za watu warefu Kwanza...
6 Reactions
162 Replies
20K Views
Mara Paaaap.. Umerudi zako home Unakuta Panya 6 (sita) 1. Panya wa kwanza anakula MsaaFu au Biblia 2. Panya wa Pili anakula Cheti cha Degree 3. Panya wa Tatu anakula Hati ya Nyumba 4. Panya wa Nne...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Kuna mpangaji mwenzangu eti ameenda polisi kushtaki ameibiwa millioni 5, watu wengine waongo kweli hela yenyewe ilikuwa laki 7 tu! Na sirudishi senzi😝
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom