JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Majukwaa yote yana heshima zake na kumekuwa na taratibu zinazoelekezwa; kwanza wakati wa kujiunga na JF na taratibu zingine za kila jukwaa. Pamoja na yote hayo, hapa CHIT CHAT tumekuwa na tatizo...
10 Reactions
290 Replies
16K Views
Huku nilipo tumepishana na Tz Masaa mawili. Nmeamka nikaenda GYM hapa hapa Hotel. Huku kwa wenzetu Five Star Hotels lazima ziwe na Gym. Sisi ambao hatuna stress na miili ina shukrani usipoenda Gym...
27 Reactions
88 Replies
10K Views
Kampuni ya bidhaa za SONY kimegundua njia mpya au aina mpya ya kamera... for more infomation click the attachment below...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Huyu lara 1 alikuwa na story zake kali tu jukwaa hili la MMU.. yupo hai au kashavuta maana ni miaka sasa sijaona story zake....
1 Reactions
43 Replies
6K Views
Halafu ghafla unawakuta wao wamefutuka utadhani wao hawapaswi kufunga[emoji848]
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwanzo alikuja mshana jr na selfiker sasa Bujibuji na picha za utotoni, mimi nakuja na uzi wa vichululu na vipapuchi wa utotoni. Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️ Unakaribishwa
0 Reactions
3 Replies
715 Views
LEARN TO SEE GOLD EVEN IF IT IS IN MAD
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Uzalendo umenishinda mzee wa kasumba na nimeamua kudhihirisha kasumba zangu. Kuna dada mmoja maarufu Sana hapa JF, kiukweli nimetokea kuvutiwa nae Sana. Nimeona Bora nimfuate huko wanakokuita PM...
1 Reactions
59 Replies
3K Views
Jamani tuwe serious Kwanzaa, wanaletwa kunguni wamejaa kwenye jaba tano(5) wanamwagwa chumbani alafu unaambiwa ulale humo mwaka mzima kila baada ya Week wanakuja kumwaga Jaba nyengine tano(5)...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Uzoefu wangu nimeona kuwa watu wafupi walio wengi ni Magenious pia wanaustaarabu wa kuzaliwa nao Toa maoni yako tuone kama na ww umewahi kukutana na kundi hilo
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Nini maana ya maneno haya!? 1.Mchambo 2.Danga 3.Pambe 4.Nung'aembe ([emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]) 5.Shosti 6.Jojo 7.kishundu 8. 9. 10.
0 Reactions
5 Replies
925 Views
Leo mchana kwenye safari zangu hapa mjini nilifika sehumu kilukua kuna kitu nataka kununua price ilikua 1.8m balance yangu ya ilikua laki 9 na 86 nikaona isiwe tabu nikaanza kuangalia majina ya...
1 Reactions
50 Replies
4K Views
Ukiwa unatoka asubuhi kuelekea kwenye mihangaiko yako utaipenda mabibo ndani ya daladala,iwe ukiwa unaelekea makumbusho ,kariakoo au mnazi mmoja ndani ya daladala utakutana na watu wamependeza...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
[emoji68]‍[emoji173]‍[emoji182]‍[emoji68][emoji67]‍[emoji173]‍[emoji182]‍[emoji67][emoji68]‍[emoji68]‍[emoji65][emoji68]‍[emoji68]‍[emoji66][emoji68]‍[emoji68]‍[emoji66]‍[emoji65][emoji68]‍[emoji68...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wadau najua kila mmoja ana mila za kwao. Hebu tukumbushane kidogo miiko yetu ili hata ambao hawazijui waweze kufahamu kwamba zilikuwepo. Hapa haijalishi ni kwa kabila, koo n.k Mfano: 1. Mwanamke...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Wale ambao mlibatizwa mkiwa wadogo, mlipata mafundisho ya dini, mlipokea sakrament zote za kanisa. Wengine mnakumbuka mbuzi wakichunjwa siku ya Kipaimara na watu walikuwa pilau na soda...
6 Reactions
8 Replies
2K Views
Rejea zako tu Kichwa cha Habari kama unavyokiona hapo kisha anza zako Kutiririka na Kuserereka. Nawasilisha.
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Weekend ndio hiyo inaanza, kila mtu alikuwa na enzi zake, Kuna ambao enzi zao zimepita kwa sababu ya umri na wengine ni kwa sababu ya majukumu, Kuwa mzee hakukufanyi usikumbuke Enzi zako, Kuna...
2 Reactions
6 Replies
924 Views
Mwanamke anatakiwa anone,mafuta tele,sio mwanamke umesinyaa kama Dr Shika una mapaja kama ndege,eti una english Figure.
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Habari za siku nyingi JF members.. Nachukuwa fursa hii kuwataarifu kuwa @Shombelakisomali nimerudi tena baada ya kupigwa ban la nusu mwaka nzima.. Nikiri wazi kuwa nimeumia vyakutosha kwani...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Back
Top Bottom