JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
*JINSI YA KUENDELEA KUWA MASIKINI* 1.Usiamke mapema. 2. Usipange matumizi ya Pesa zako. 3. Usiweke akiba mpaka utakapo-kuwa tajiri. 4. Chagua kazi. Mimi nimesoma siwezi kufanya hii kazi. 5...
5 Reactions
26 Replies
5K Views
Ifahamike sitotaja jina la wahusika/mhusika Kuna jamaa mmoja hapo kibaha alitembelewa na Shemeji yake (kaka wa mke wake) Basi jamaa alishindwa kudhibiti tabia yake ya kumpiga mkewe na gubu...
15 Reactions
56 Replies
4K Views
Jamani nilipokuwa mdogo hii ndo ilikuwa hobby yangu maana kwa umbo langu dogo sikuweza kupigana ila ukinikosea kidogo..nitakupa neno utakaa kimya mwenyewe! Najikumbushia tu...(usinichukie...)...
20 Reactions
826 Replies
133K Views
Hello leo nitakuwa pale posta/ferry naangalia meli na pantoni zikipita ni pale pembeni ya kituo kidogo cha polisi kivukoni ukija unaweza kuniona...musio na mishe ya maana wenzangu hapa town...
15 Reactions
56 Replies
4K Views
An Italian, French and Indian went for a job interview in England . They were told that they must compose a sentence in English with three main words: Green, Pink and Yellow. The Italian was...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Hakuna maneno mengi.. kama unayo yako tupia..
1 Reactions
42 Replies
3K Views
Habari Siku za hivi karibuni kuna rafiki yangu amepangiwa Mwamashimba kwenda kufanya kazi huko. Wanaoijua embu mnijuze pakoje vip huduma muhimu zinapatikana?
0 Reactions
6 Replies
707 Views
Ni kisiwa kinachopatikana kando kando mwa bahari ya hindi chenye ukubwa wa hekari 16. Inaaminika kuwa haishi mtu pale toka karne ya 19 hadi leo huku kukiwepo misikiti iliyojengwa toka karne ya...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Hivi karibuni nime expirience tatizo la gas kuisha ndani ya wiki3 tofauti na siku za nyuma, ikumbukwe naishi na mke only hatuna house girl wala ndugu, wote tunatoka asubuhi sana na tunarejea...
6 Reactions
26 Replies
4K Views
Hongera sana mdau, nazugumza nae, walau nishare haya mambo mazuri na mapicha na wanajf
3 Reactions
11 Replies
1K Views
MAISHA ya DADA zetu FACEBOOK na INSTAGRAM Wiki ya kwanza Status:"Location flani amazing" "Having fun" "I love my life" "sijali mnayosema nafanya...
30 Reactions
33 Replies
7K Views
Rejea Kichwa cha Habari hapo juu kisha Wewe changia zako tu. Karibuni.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa wale wenye wenza wao humu jf kama usingekua na huyo uliyenae sasa ungetamani kuwa na nanii humu?? Huu ni uzi wa kuwa huru na kufunguka hata kama yupo hapa wewe usimwogope sema tu kama siyo...
9 Reactions
453 Replies
17K Views
Hakuna kipindi kigumu kama kuanza kuishi na beki tatu aisee kuna vitu vingi vya kushangaza..tulipata beki tatu toka Iringa picha linaanza tulimwambia apike Uji aisee tutakuta kaweza...
3 Reactions
220 Replies
19K Views
Habarini wana jamvi… Leo ningeomba mawazo yenu kwenye hiki kisa..ni mkasa wa kweli…nitatumia majina yasiyo rasmi. Aku na Sam ni wapenzi tangu wakiwa shule ya sekondari, walifanikiwa kumaliza...
5 Reactions
83 Replies
5K Views
1. Kama ulikata daftari mara mbili. Kipande kimoja ukaacha nyumbani na kingine ukaenda nacho shule. We ni shujaa. 2. Kama ulitumia kipande cha kandambili kama ufutio. 3. Kama ulikanyagia...
2 Reactions
4 Replies
915 Views
Habari zenu wadau. Hv hii kitu inawakuta na nyingi au ni mimi tu. Madada wa hapa mtaani kila kitu kikiharibika wanataka mimi ndo niwarekebishie. Iwe simu, saa, tv set zikizingua mpk umeme somtime...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom