JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Inasikitisha sana wakuu
0 Reactions
8 Replies
949 Views
Sikiliza mwenyewe
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wacha nianzishe Uzi Kimasiahara, au mnasemaje mabaharia mnao gegeda kimasiahara Sasa Angalia Fala Anaagiza Round Ingine Lakini Angalia Gharama Ewe Rafiki
0 Reactions
5 Replies
696 Views
The young boy found out when the government sleeps the capitalist screws the working class the the future is left in shit.
1 Reactions
1 Replies
610 Views
Jamani hili nalo lifanyiwe uchunguz kisayansi. Kitu gani kinachowafanya watu wafupi kuwa wakorofi au wabishi?
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Salaam Kutokana na mvua zinazonyesha sehemu tofauti ni mengi yameibuka! Huko Dar es salaam baadhi ya vijana wetu wamebadili chakula na sasa wanatumia chakula hiki!
1 Reactions
3 Replies
1K Views
My friend Tuache tabia ya kujimwambavaisha hii dunia tunapitia tu Mdogo wangu nimemwagiza aniwakilishe kwenye harusi sikuona mtu mwingine bali ni mdogo wangu tu ni mtu poa sana
0 Reactions
0 Replies
824 Views
Watanzania waishio Ughaibuni wanaojifanya kwao mambo super. Tohombe alizaliwa Kiwalani CCM na kwasasa anaishi Washington DC. Hana msaada kwa mama yake na nyumba yao alikozaliwa mwenyewe...
3 Reactions
7 Replies
775 Views
Hapa ni mwendo wa kula bataa kwa wale wa pay cheki kazini jumanne na hivi Dar kuna kamvua kujamiiana kwingi miezi Tisa baada ya sasa vibendi. Uzi tayari
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Biblia inasema: *MWANAMKE NI KIUMBE DHAIFU* hapo hapo inasema *TUKAE NAO KWA AKILI.* Na bado inasema *MWANAMKE NI JESHI KUBWA* Swali? Walijifunza saa ngapi uwanajeshi na ili kudhibitisha kwamba...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Mke wangu mjamzito asa katika kipindi hiki cha ujauzito wake nataka ku print tshirt saba niandike maneno haya MKE WANGU MJAMZITO ili iwe kumbukumbu mtoto akizaliwa naprint matshirt saba,moja...
5 Reactions
81 Replies
5K Views
A father put his three year old daughter to bed, told her a story listened to her prayer which she ended by saying: "God bless Mommy, God bless Daddy, God bless Grandma, and good-bye Grandpa."...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu tufanye kujuana hata kwa hisia hebu tupia jina la mtaa uliopo na kitu/ mtu maarufu kwenye hizo pande zako unaweza ukakutana na jirani yako humu Mimi...
0 Reactions
45 Replies
3K Views
Mwili unauma sana karib mwezi na kitu sasa lakini sina homa, na mwili unanguvu kama kawaida ila unauma tu kila siku hasa nikifanya mapenzi keshoyake naamka viungo vyote vinauma hili ni tatizo gani
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Wakuu leo sina mengi ni swali tu la msingi. Hivi nafuu ipo wapi kati ya kufumaniwa na mwanafunzi wa shule au mke wa tu? Uzi umeisha.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hivi ni kwanini ama ukiingia tu Ofisini kwa Mtu au ukikutana na Mtu ' anaperuzi ' Simu yake na akiwa ' anaukodolea ' Mtandao huu wa JamiiForums haraka sana utaona anauondoa / anauzima kisha...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom