JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Yaani tumekuja kunywa balimi. Sasa muda wa kula umefika, mwenzetu kaagiza kilo ya chair fire na mchicha pilipili na kachumbari. Cha ajabu amekata nusu katia kwenye mfuko wa nailoni (hii hii...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Bandiko teyari nisaidieni nafanya research ya chuo
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Nimeamua kuhamia biashara yangu humu ndani naamini mpo wadada warembo mtakaoniunga mkono kwenye hii biashara yangu mpiya. Nauza vifuniko vya asali vya kila aina. Uwe mwembamba kifuniko chako...
0 Reactions
119 Replies
7K Views
Nawashukuru wote ambao mmechangia kwa mm kuweza kufikisha point 1000 haikuwa rahisi Ila yote ni kwa sababu ya kuona umuhimu wa kile ninachopost au kucomment!! Thanks again!!! Unaweza ukachukulia...
2 Reactions
39 Replies
2K Views
Dunia iko kasi sana, zamani baharia ilikuwa mtu wa kuhudumu kwenye Meli, ila sasa baharia ni mtu wa kuzama chumvini inahuzunisha sana, yatatokea magonjwa ya koo mengi na kinywa kwa ubaharia wa...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Niseme tu tangu nikiwa nasoma siku hii haijawahi kuwa pendwa kwangu. Nilidhani nikimalizana na mambo ya shule nitaanza kuifurahia siku hii ya 'jumatatu' lakini mambo yamekuwa ndivyo sivyo. Ni...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Nina muda wa miaka kadhaa hapa jukwaani! Nishakutana na warembo kadhaa, ila sijawahi kutongoza either PM or anywhere... Huwa inakuaje? Tupeane uzoefu...
3 Reactions
95 Replies
5K Views
Ni kijiji gani kizuri naweza kwenda kondoa kukaa kwa miezi miwili ambacho umeme bado ni shida maana nataka kupata experience ya maisha ya kijijini
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Waswahili tumepatikana! Pesa sasa imepata thamani na naendelea kuadimika. Miaka hiyo ukipata demu ku spend utaambiwa laki si pesa(Tshs 100,000/=). Mika ya karibuni na hata sasa hivi unaambiwa...
0 Reactions
3 Replies
609 Views
Alaaaaaaa
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nataka mnisaidie kitu ki1 NIKIWA HAPA JF .NIWE NACHAT NA FRIENDS WA FB. tafadhal kwa anaefahamu aniambie
0 Reactions
1 Replies
917 Views
Baharia lazima uwe na gheto km hilo vinginevyo wew sio baharia
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Only money that i want
0 Reactions
9 Replies
938 Views
Wakuu, habari za weekend. Naomba kuelimishwa kidogo: Hivi hadi kiwanja kiwe classified kama either LOW DENSITY, MEDIUM DESNITY au HIGH DENSITY kinatakiwa kuwa na VIPIMO (sqm) zipi? Napata wapi...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Just assume JF tungekuwa na gazeti letu la Udaku kama Kiu, uwazi n.k Vichwa vitasomeka hivi. 1. Week zapita sasa X wa mgangaa mashuhuri JF kitoonekana jamvini 2. Dau la kuhonga lakonga mioyo ya...
44 Reactions
575 Replies
28K Views
Una refresh nyuzi usome mpya yanayojiri wapi hakuna uzi mpya wala watu wanaochat. Ila ukiangalia kule member waliopo online unaona wengi. Mimi ninachotaka kusema tu endeleeni kuchat PM wenyewe tu...
29 Reactions
186 Replies
8K Views
nimeikuta sehemu sijui kuna ukweli ipo hivi familia ikwa na mtoto mmoja, basi huyo huyo ndo atapendwa na wazazi familia ikiwa na watoto wawili wazazi watampenda wa pili kuliko wa kwanza hasa...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Mwaka wa korosho ushaanza kusini huko,watu wanapulizia dawa ili kuweka afya ya mikorosho. Sasa sijui tutegemee sarakasi gani mwaka wa korosho ambao ni 2019/2020
0 Reactions
0 Replies
501 Views
Back
Top Bottom