JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Me mgeni humu nipokeeni
0 Reactions
5 Replies
836 Views
Huu mpambano mpaka sasa ni mkali kweli kweli kabla watu hawajarejea toka china wengine wakakunwa kunakowasha Unaweka wapi mzigo Je kuna Direct win hapa au Both team to score, vipi kuhusu Handcap...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Hello folks, on this thread you can write any rumor you've heard at all times, of any aspect...Just start with "Rumor has it...." Eg. Rumor has it that Dudu Baya is gay..
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Habarini ndg watumiaji wa jf naamini nyote ni wazima umu Kuna watu wana QUOTE Uzi mrefu ambapo inatuchosha sisi wanachama wa kusoma comment kama vp admin tafuta mbinu ili mtu ashindwe ku QUOTE...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari za wakat' huu watu wangu wa nguvu... @DomTown
2 Reactions
44 Replies
3K Views
Mjumbe wa nyumba 10 mtaa fulani katusimulia kuwa kaletewa kesi kuwa jamaa kaoa, ila kaenda gesti na mchepuko siku ya krismas. Baada kumaliza yao akaondoka lakini kasahau simu ?. Muhudumu...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Ukienda bar ukawakuta wachaga na wasukuma washamba ujue unaweza kuishia kuwa na stress za kufa mtu! Wachaga watakuwa wanapiga makelele na kujisifu kuwa wana pesa wakati wasukuma nao watakuwa...
3 Reactions
53 Replies
9K Views
Hivi ni kwa nini kale ka umri ka kuolewa kakianza kuwaacha acha kuwapita huwa mnamtumainia sana mungu. Yaani hata post zenu kwenye mitandao ya kijamii huwa ni za kimungu mungu. Hivi ni kwa nini?
3 Reactions
73 Replies
3K Views
Kufuatia tukio la leo la January Makamba kufurushwa Uwaziri, tabiri vichwa vya magazeti vya kesho.
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Mwanamke anaandika uzi kwamba anahitaji mume ili aolewe chaajabu unamfata inbox anaaza pozi nyingi. Unaanza kumtongoza tena sasa chakushangaza apa mtu unataka mume inakuwaje tena ubembelezwa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Dada zangu sisi wanaume ni kama watoto Ukiona boyfriend wako ana hasira Sana We muwekee ziwa mdomoni atatulia tu mwenyewe😂😂😂😂😂😂
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Imekuwa ni mara kadhaa imesikika eneo la UVINZA limekuwa likitajwa sana na makundi kadhaa ya watu hasa vijana mara utasikia "jana nilizama uvinza" au "hata iweje mimi siwezi kwenda uvinza" sasa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Waungwana mpo..! Kwa heshima na taadhima ninasimama mbele yenu ninayo habari njema kwamba nikiwa usingizini usiku huu nimeoteshwa dawa inayotibu magonjwa yote (kama alivyooteshwaga babu wa...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifanya utafiti kwa miaka miwili sasa juu ya tabia za wana JF kwa kutumia aina za avatar wanazotumia. Mpaka sasa nimekutana na members zaidi ya 30 humu. Kiukweli avatar wanazopendelea...
6 Reactions
196 Replies
10K Views
Kitu pekee ninachokipenda kwenye mabasi ya 'mwendokasi' ni kuwa ukipanda hata ukikutana na unayemjua roho haikupasuki kumlipia nauli
4 Reactions
20 Replies
6K Views
Mpe neno moja mbwa wangu baada ya kuumwa na nyigu. [emoji23][emoji23][emoji23]
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari wana chit-chat. Huu Uzi ni maalum kwa kupotosha methali. -samaki mkunje Hadi akojoe. -mficha uchi ujue kachoka kutoka..wa -ngoma ikivuma sana viziwi watasikia na kuanza kucheza. -Hamadi...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Maisha club toka imehamia Mwenge imekuwa kama pub flani ya kishamba sana. You can't believe wana kaka kamoja kimbamba keupe yani eti ndio official dj wao kinajua tu nyimbo za kina mario na aslay...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wanajf mliopo Dar na viunga vyake,wiki hii hasa kesho nitakuwa safarini kuja Dar kwa ajili ya mapumziko Nitapumzika siku tatu ,nategemea kuondoka jumanne kurudi Mwanza Ambao mna fahamu hotel...
2 Reactions
109 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…